Search results

  1. T

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    KakaJambazi, Nakushuru kakajambazi kwa mawazo yako, kweli nimefarijika kwa michango yenu.
  2. T

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Duu! Nashukuru kwa ushauri, kwenda India inategemea na uwezo.mWengine ni watoto wa mkulima pure,tunategemea kuishi kwa jembe la mkono. Thanks da'Faiza fox, mungu akibariki nitaenda India.
  3. T

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Akili Kichwani, Nakushukuru sana ndugu kwa huu ushauri,nitaufanyia kazi. Hearing aids nimesha ziacha baada ya kuona zinaongeza ukubwa wa tatizo. Thanks.
  4. T

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Nashukuru kwa ushauri, ila kwa sasa sijaajiriwa, nimemaliza chuo hivi karibuni. Je naweza kwenda hiyo ofisi ya labor kwa sasa?
  5. T

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Hodi jamvini! Nina sumbuliwa na masikio tangu 2003, sikio langu la kushoto linatoa milio isiyozimika toka mwaka 2003 na pia usikivu wake ni hafifu sana. La kulia nalo usikivu wake ni wastani na huwa kama lina geuka kwa ndani na kusabibisha kutokusikia. Kwa mfano, kama nikimeza chakula, au kupiga...
Back
Top Bottom