Search results

  1. U

    Naomba setting za internet za samsung s5

    Asanteni sana kwani nilikuwa na tatizo hilo. Sasa napata internet vizuri kabisa
  2. U

    ushauri wenu juu ya hii gari VOLKSWAGEN POLO

    Nimeshuhudia watu wawili walionunua hiyo gari wakipata shida nayo. Mmoja toka imefika inashinda gereji tuu hajawahi kuendesha zaidi ya siku moja bila kumletea tabu.Mara inachemsha, mara Cylinder Head inasumbua, mpaka sasa imehamishia makao yake Gereji jamaa anafikiria kuiuza kama scrapper. Kama...
  3. U

    Shem utatapita pale petrol station..

    Makubwa, haya ya kuenda bafuni yametokea wapi tena????
  4. U

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Hahahaaa uuuwiii au amepata kuwasha...koo?
  5. U

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    Hahahaaa JF raha sana, huwezi kupata presha humu utake usitake lazima utacheka
  6. U

    Wabunge wa CCM wakataa Kuunga Mkono hoja ya Kujadili Mgomo wa Madaktari

    Mhhh ina maana bungeni leo wapo CCM tuu au wapiganaji wetu wa Chadema , CUF n.k hawakupaswa kuunga mkono HOJA??? :shock::shock::shock:
Back
Top Bottom