Search results

  1. Y

    Zanzibar siyo NCHI - Jawabu ni A siyo B au C...

    Tunataka Tanganyika yetu irudi. kama ccm ina maslahi mapana na muungano huu, haya ni maslahi ya chama sio nchi (nukuu ya nape)
  2. Y

    Msaada jamani ninapiga bao 3 kila siku labda itokee nimesafiri tu.

    hivi kweli wewe ni baba wa watoto 3? mbona unapost pumba? unataka tukushauri nini? kwa ufupi hueleweki.
  3. Y

    Help: I cant wash his underwear

    kwenye issue ya mshahara wa mke kuchangia budget ya ndani kuna ugumu
  4. Y

    Help: I cant wash his underwear

    ndoa sio kulala kitandani tu bali ni pamoja na kumsaidia mumeo kumfanya aonekane smart
  5. Y

    men men men

    nimeipenda hiyo
  6. Y

    men men men

    hata mwanamke sio nduguyo
  7. Y

    Maajabu ya Supu Ya Pweza

    sijawahi kutumia,naombeni ushauri nitumie?
  8. Y

    Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

    Haki siku zote haipotei bali inafunikwa tu na wale wenye kudhulumu na baadae huwa inaangaza
  9. Y

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Nimeipenda hiyo mkuu
  10. Y

    Jaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua nafasi ya John Tendwa

    Kusema kweli kwa hali ya kisiasa ya nchi ilivyo kwa sasa,ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini inahitaji kuwa na mabadiliko muhimu ili kutengeneza kuaminiana miongoni mwa vyama vya siasa nchini.Katiba mpya itengeneze tume maalum ya kumteua msajili na kuipeleka kwa rais.
  11. Y

    Jeshi la Polisi lamkamata Muhusika wa Usambazaji wa SMS Chochezi

    heko jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kupambana na wahuni wachache wanaotafuta kugawa nchi kwa maslahi yao.nakubaliana na Rais kikwete kuhusu rasilimali za nchi,tukiruhusu madai haya ya wanamtwara yapite kama yalivyo,hakuta kuwa na nchi maana hata watu wa mbeya wanaweza kuzuia magunia ya viazi...
  12. Y

    RC Mtwara: Hali ya Mtwara ni shwari kabisa!

    mkuu wa mkoa anajua anachokizungumza kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa
  13. Y

    Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

    karibu prof.jay ujiunge kwenye timu ya makamanda kuikomboa nchi.Onyo.kama umetumwa ni bora utuambie mapema tukuignore mapema kwani tukigundua wewe umekuja kutusaliti tutakufukuza kwa aibu
  14. Y

    Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

    Hata mimi nimemshangaa nape kumpinga boss wake.Nape tumia busara katika nafasi uliyopewa wewe bado ni bwana mdogo sana huwezi kushindana na Mh Lowasa kwenye ulingo wa siasa za tanzania.
  15. Y

    Gari ya JWTZ lapinduka na kuua askari kadhaa wakiwa njiani kuelekea Mtwara kuongeza nguvu

    Tunasikitika kwa ajali ya wanajeshi wetu ila nashauri serikali inayoongozwa na Rais Jakaya mrisho kikwete sio kila mahali unaweza kutumia vyombo vya dola na ukatarajia kupata usuluhishi bali inaleta chuki kati ya wananchi na serikali yako
  16. Y

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    jamani naomba watanzania tusishabikie sana kwa yanayotokea huko Mtwara kwani amani ikipotea ni janga la wote bila kujali huyu ni wa kusini au kaskazini.Serikali ikae na wananchi wake na kutaka maridhiano badala ya ubabe.
  17. Y

    Kwa hili; CHADEMA hawakutenda Vyema, Walikosea!

    Tusitumie hizo simu kutukana viongozi wa kitaifa, bali tutumie simu kumwonyesha Anna Makinda na Job ndugai kwamba kiti walichokikalia sio mali ya ccm bali ni mali ya umma wa watanzania bila kujali vyama vya siasa.wanachofanya makinda na Ndugai ni kudhoofisha nguvu ya chadema
Back
Top Bottom