Search results

  1. G

    Dr Edward Hoseah: Hakuna Mtanzania Aliyehusika na Ufisadi Katika Ununuzi wa Rada!

    kama hajawajua watz waliohusika mi nawajua, akitaka kuwajua awaite ma-"senior gambas" halafu wasimame mbele ya kioo (mirror) watawaona tu
  2. G

    Siasa za CHADEMA zinairudishaTanzania mwaka 1842!

    hivi ndugu unafikiri huyo katuni wa 1842 ni ccm au ni chadema? Ccm ndio hamtaki watu waandamane kuonyesha hisia zao kuwa hamuwaridhishi kila jambo ni siri ili "business yenu" i-survive
  3. G

    Mtu wa namna hii si itakuwa aibu?

    kama hana confidence ya kupaza sauti waarumeru wanataka ardhi yao, matendo yatakujaje?
  4. G

    Hii ndio impact ya vitendanishi vibovu vya kupimia VVU

    Hali ni mbaya sana katika Hospitali zetu baada ya kugundulika vifaa vya kupima VVU havitoi majibu sahihi. Akina mama wanajifungua bila kupima hivyo usalama wa watoto wanaozaliwa haujulikani, wanaotaka kuoana nao mambo ndo kama hivyo, upatikanaji wa damu salama ndio balaa yaani watu wa ajali...
  5. G

    Tangu mgomo wa madaktari Kikwete ameligawa taifa

    Nikifikiria sana nahisi huenda raisi wetu ni MSHIRIKINA, mambo anayofanya si rahisi kufanya bila shinikizo la SANGOMA.
  6. G

    Kikwete Huyooooo Botswana...sidhani hata anakumbuka yuko wapi?

    Akitoka huko apitie Songea akawape nishani wale ma- sniper walioua ndugu zetu, halafu atafute kingine cha kuhudhuria ninazindua saluni yangu lubumbashi ntamualika
  7. G

    January Makamba kiongozi mwenye uzalendo licha ya kuwepo CCM

    Tatizo ni kukopi, au hoja ya texas ndio haina kitu? Kungekuwa hakuna kukopi hata hicho kiswahili ulichoandika kisingekuwepo. upo?
  8. G

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    jamani nisaidieni sina habari kuna crisis ya kikatiba CCM inayohitaji dharura ila naamini jamaa anaweza tiwa aibu na wenzake waliomsaliti nahisi kama timu haiko ktk stence nzuri
  9. G

    Usanii katika mambo ya Msingi

    Mwalimu Nyerere alishasema dhambi ya kubagua haiishi lazima itaendelea kuwala tu. Walijiona wao ni wamoja kwa kuwadharau CDM bila kujali ukweli na haki, sasa ile dhambi ndo inawala na wasiporudi na kujisafisha itawamaliza kabisa. Hiki chama sijui kina ndumba gani, yaani watu na akili zao...
  10. G

    Mh Mnyika, ARE you serious? ni serikali ipi unaiongelea

    Mh Mnyika una mawazo mazuri na yenye mguso kimantiki, lakini hawa jamaa unaowapa huo ushauri ni muflisi kabisa, hatua waliyofikia hawawezi by any means kuimarisha uzalishaji na usambazaji wa gesi, hawana na hata wakiwa na plani ya umeme wa dharura hawawezi kutekeleza. wamekata tamaa kila mmoja...
Back
Top Bottom