Search results

  1. AdvocateFi

    Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Sanga ndio nani Mkuu, mawasiliano yake au Ista oage yake tafadhali.
  2. AdvocateFi

    Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    Wakuu nataka connection ya car accessories kwa bei ya jumla kwenye hiyo mizigo wanayoshusha wachina
  3. AdvocateFi

    Hongera Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri wa Afya

    Rule no1: Never outshine your master. Thanks Robert Greene i have learned a lot from your power philosophical masterpiece.
  4. AdvocateFi

    Natafuta Kazi: Nina Masters ya Education Management and Administration

    Mbona wengine masters ndio zimewapa ajira tena bila experience. Acha kukatisha watu tamaa kwa sasa degree ni kama form6 tu. Sasa jichanganye kwenye interview ukutane na mtu mwenye gamba la masters uone kama utasalimika.
  5. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bring it on Reds.... this is Anfield
  6. AdvocateFi

    Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

    Huyu mpiga ramli ana hali gani huko alipo na tunguri zake!
  7. AdvocateFi

    Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

    Liverpool mwaka huu itawauwa na mrudi tena kupiga ramli nguvu tunahamishia EPL sasa
  8. AdvocateFi

    John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

    Acha ujinga huu toka lini mbunge akujengee zahanat na daraja kwani kodi anakusanya yeye? Kazi ya mbunge unaijua kwel na kuna mahali umeona Mnyika hajatimiza wajibu wake kama Mbunge?
  9. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    OX ni lallana aliyechangamka
  10. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hawa ndio vijana wetu watakaoenda kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi Aston Villa😆
  11. AdvocateFi

    Uzi kwa tuliowahi na tunaofanya kazi kwa Wahindi tupeane changamoto za mabosi zetu

    Ila kwa sasa kuna mhindi mpya pale magogoni, kwakweli ni mnanyanyaso kwa kwenda mbele kwa walio na ajira na wasio na ajira. Kibaya mhindi huyu hashauliki.
  12. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    This is Liverpool huku raha tu.
  13. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naskia next week lallana anasign mkataba wa miaka 2
  14. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    January mbona mbali sana wakuu
  15. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Bonge moja la usajili Sipati picha mbele Salah Firmino Mane Fabhino Keita Minamino
  16. AdvocateFi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    What a news! Minamino oooh Lord
  17. AdvocateFi

    Hivi sasa ajira ni za kujuana, Connections na "kamleteni"

    Hilo pendekezo lako no3 ndio hilo linaendekeza mfumo wa kamleteni.
Back
Top Bottom