Search results

  1. N

    Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

    sidhani kama hayo ni ya kweli na kama kweli msemaji alikusudia hilo liloadikwa lakini ikwa ndio hivyo basi si sahihi, lakini ni lini tutaacha huu uchokozi wa kijinga uso na maana hali tunajua madhara ya tunayoyachokoza, tukumbuke neema ya kila jambo utaijua pale unapoikosa hebu tusifike huko...
  2. N

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    la hasha sina maana hiyo mm akisimama mkristo yyte yule mwenye sifa za kua rais kwangu ni sawa tu alimradi asiwe slaa na asiwe na sina imaaani naye kozi sijawahi sikia PADRE kaacha upadre nahisi kuna kaaajenda hapa kanaandaliwa siko tayari kua sehemu ya ajenda hiyo
  3. N

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    la hasha sina maana hiyo mm akisimama mkristo yyte yule mwenye sifa za kua rais kwangu ni sawa tu alimradi asiwe slaa na asiwe na sina imaaani naye kozi sijawahi sikia PADRE kaacha upadre nahisi kuna kaaajenda hapa kanaandaliwa siko tayari kua sehemu ya ajenda hiyo
  4. N

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    "Fikira sahihi huja kwa lugha sahihi".... hili ndio lilikua tatizo kwa jamaa lugha ALIOKUA AKIITUMIA PENGINE NDIO ILILETA KIGUGUMIZI BT haikua kuteleza kwa ulimi "WOGA WA KUONGEA KWA LUHA YA KIGENI MBELE YA WENYE LUGHA YAO" ni sawa ukiswalisha huku ukijua nyuma yako wako mashekhe wakubwa...
  5. N

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    sababu za kutokumchagua slaa dk. 1.Ni PADRE ss waislamu hatuna imani nae kwani mlevi haachi pombe hupumzika kwa muda. 2.Katawaliwa na jazba na hana busara hata ya kuombea maji kitu ambacho hapaswi kuanacho kiongozi. 3.Si MTU MAKINI anakurupuka kama (raisi aliye madarakani) akiaambiwa jambo...
  6. N

    Kujaribiwa

    Mh! Mitego ya namana hii ingenikuta mie bwana
  7. N

    Natafuta mchumba wa kike

    we unalima mihogo halafu unatafuta mke wa pili hujionei huruma
  8. N

    loneliness is killing me softly

    mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Back
Top Bottom