Search results

  1. Muke Ya Muzungu

    CCM Ukoo wa Panya: Ufisadi Unaotisha Ndani ya TANESCO...!

    Ukoo wa CCM ni wa kunyonga tu . Hakuna kingine. Mgao kumbe wametengeneza?
  2. Muke Ya Muzungu

    CCM Ukoo wa Panya: Ufisadi Unaotisha Ndani ya TANESCO...!

    Watanzania wanalazimishwa kuwa gizani na Mafisadi na Symbion wanaolipwa USD .42cents kila unit. Badala ya kukabiliana na matatizo ya Watanzania kama swala la umeme, CCM inajikita kwenye mambo ya kipuuzi ya kumtetea Zitto. Mgao wa umeme ni wa kutengenezwa na mafisadi ya CCM. Mafisadi na symbion...
  3. Muke Ya Muzungu

    Mbinu Zote Za CCM Zimebumu: Chadema Washeni Moto Wa M4C!

    CCM iliwekeza sana Kwa Zitto Kabwe na walimuamini kuyafikia malengo yao. Wakubwa ndani ya CCM wameshtuka sana na kuingiwa na uoga. Mzee Chikawe, Nape Nauye, Rose Migiro na viongozi waandamizi pale Lumumba wanasema wameingiwa na baridi. Hawaoni dalili nzuri baada ya 2015 Huu ntego ulikuwa ni...
  4. Muke Ya Muzungu

    Waziri Muhongo Anadanganya: Huu Ndio Ukweli Kuhusu Mgao Wa umeme

    Tanesco wananunua umeme kwa bei ghali. Muhongo analetewa miradi ya bei nafuu kweli lakini yote anapiga Chini. Muhongo naye ni fisadi tu. Asikudanganye mtu. Hana maana kabisa ! Hotuba ya karne, imekuwa janga la karne
  5. Muke Ya Muzungu

    TAKUKURU: Anzeni na Jerry Silaa, Huyu kijana fisadi hatari

    Ikiwa PCCB inafanya kazi yake kwa weledi, Basi ingeanza kumchunguza Jerry Silaa kuhusiana na hizi tuhuma. Wakina Lowassa wanaitwa mafisadi na wakina Nape, wakati mafisadi hatari chipukizi kama Jerry Silaa wanapuuziwa. Angalieni madudu yake kama kweli mnaijua kazi yenu...... Jerry Silaa...
  6. Muke Ya Muzungu

    Waziri Muhongo Anadanganya: Huu Ndio Ukweli Kuhusu Mgao Wa umeme

    Waziri Muhongo kama kawaida yake amejaa matusi na uongo. Sasa huu ndio ukweli kuhusu tanesco kutaka kupandisha bei ya umeme.
  7. Muke Ya Muzungu

    Hapana Chezea Chadema; Wengine Hutimuliwa, Wenyewe NO!

    Bora Chadema inatatimuwa waliti. CCM inakumbatia Mafisadi, Wauza unga WabakakajiBora Chadema inatatimuwa waliti. CCM inakumbatia Mafisadi, Wauza unga Wabakakaji Wasambaza Ukimwi Maghaidi Wazinzi kama Mwigulu Walawiti wa watoto kama Captain Komba Wan'goa kucha Wasambaza Ukimwi Maghaidi...
  8. Muke Ya Muzungu

    CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

    William, itakuwa ni tusi kubwa sana kwa mtu anayetuhumiwa kuwa shoga kama wewe kuipa Chadema ushauri nasaha. Nadhani ushauri huo ungeipa chama Chako. CDM haiendekezi hizo tabia. niwie radhi kakangu. Hadi pale utakapotoa maelezo kuhusu hizo shutuma ndipo tutakapokuelewa
  9. Muke Ya Muzungu

    Kifo cha CCM kimetimia

    CCM ni wauaji. Nimesoma hii barua pepe nimeishiwa nguvu... CCM Wamemuua Mvungi
  10. Muke Ya Muzungu

    Prof. Muhongo si ulisema mgao wa umeme Watanzania tutausikia kwenye bomba?!

    Wakuu hizi bahari za CCM zinatisha. Nimeokota hii kutoka Forum inayoitwa Funguka....Soma ujionee Ubao wa Siasa na Vyama
  11. Muke Ya Muzungu

    Karne ya the Kikwetez, the Makambaz & the Kairukiz

    Ukiulizwa maswali kama hayo utaambiwa una wivu...............Bora wafanye hivyo ili wazidi kumlinda Juma Kapuya. Wanaitwa wana mtandao. Hata watoto wao wakiuza madawa ya kulevya hakuna wa kuwakamata
  12. Muke Ya Muzungu

    SOLUTIONS: Hon January Rajab Makamba@ CEO RT 2011

    Ha1 ha! ha! January anajua watu wa kubabaisha......Hawezi thubutu Kuingia kwenye anga ya Great Thinkers kama John Mashaka au Mzee Mwanakijiji.......... Mkuu waite hau madume wawili muone kama January hatatokomea. Muulize Kigwangalla na Nchemba walivoyeyuka walipoambiwa waje mada zao...
  13. Muke Ya Muzungu

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Kiruu, yethu na maria. wewe nawe? Anga zako umekuwa JK? Unanini cha maana wakati unashinda kwenye Computer kuandika utumbo huku ukilipwa buku7? Ningekuona wa maana ungkuwa unafanya ya maana angalau. Heri Lemutuz alikuwa anazoa taka ulaya baada ya kumaliza kuwa bichi boy. Sasa kageuka kugawa...
  14. Muke Ya Muzungu

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Kama ulimgawia kapuya, basi ujue ulipigwa shoti manina, kubwa jinga !
  15. Muke Ya Muzungu

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Wewe usicheze na Top in Town. Sijaletwa na mtu ulaya, wala situmii jina la babangu. Ni mimi kama mimi. Mwanamme mzima unakaa nyumba ya baba, choo kinaharibika unashindwa kutengeneza, hela zangu ndo unadandia alafu unakuja kuniita mzee.....Kwa uzee wangu chupi yangu ulikuwa unaitakia nini wakati...
Back
Top Bottom