Search results

  1. W

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    acha kuwa na frikra za udini. pumbavuuuuu....
  2. W

    Wanajamii hili je, liko sahihi?,

    Wanajamii wanapochangamana na kubadilishana mawazo, kitendo hicho kwa neno moja la kiswahili ninaona litakuwa"KUJAMIANA"
  3. W

    Tundu Lissu, kwa hili, kachemka

    Katika kutendea haki mambo hakikisha haumung'unyi maneno, kwahili Lissu amechemka kwa mtanzamo wa karibu lakini kwa yule anayetazama mambo zaidi ya pale na jinsi anavyo yaona lissu yuko sahihi kabisaaaaa, katika hili watu watatafuta mchawi hata kwa nguvu ilimradi dhamira yao ya kisiasa itimie...
  4. W

    Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

    Ndugu zangu waislam tufanye harakati ambazo ajenda zake tunazifahamu, kama huyu naibu amekuja toka oman hata kikinuka yeye atakuwa wa kwanza kukimbilia oman, hebu jiulize ndugu yangu mzanzibar wa makunduchi,kojani pemba na kwingineko zanzibar ambaye hata mlo wa siku moja unatusumbua hata kuweza...
  5. W

    Is Zitto Kabwe naive or a dangerous populist?

    Huna lolote zaidi ya kujawa na chuki za kidini, acha akili yako ifanye kazi na siyo kufanyia kazi mawazo ya wengine.Naomba abdulahim uniambie rasilimali na makanisa vinahusiana nini kama siyo ajenda za siri zilizovikwa U-muungano, siwezi kushangaa kwani kuna hata waliodiliki kutaka Mombasa...
  6. W

    Mwanza hapakutosha, maandamano ya amani zaidi ya saa moja katikati ya Jiji

    Duh! ninawasiwasi na elimu yako, hata walio shule za kata wanatambua kuwa mawe ni madini, sasa huoni milima yote ya mwaza ina mawe? hayo ndiyo madini ya kufikia bila kufanya uchunguzi wa kina. We gamba kabisa walaumu serikali yako kwa kukupa elimu ya darasa la pili (kusoma na kuandika)
  7. W

    Pamoja na siasa chafu na rushwa tutashinda Arumeru Mashariki Lema (mb)

    what is washiri and their speech? to hell ,hii ni Tanzania bwana ya watanzania lema arumeru usiogope mtu
  8. W

    Hatimaye uchunguzi waanza wa ile sumu toka kuleee

    Unachokiongea ni sawa na mlevi anayejitapikia pasipo kujua nani kakudanganya CAG anajikagua? wana JF tunapochangia tusieleze hisia zetu bali ukweli unaoambatana na ushahidi.
  9. W

    Wafanyakazi wa machimbo ya north mara kugoma kuanzia Ijumaa

    Ndiyo inaikingia kifua kampuni hii ya kibepari kupitia Serikali hii ya CCM,vp we mwanachama,mwenyechama au mkereketwa?
  10. W

    JK the best president of Tanzania kutua bongo na kuhutubia taifa

    Akukanyage wewe na aende na siyo watanzania
  11. W

    What Wazungu think about our president and is all this true? if yes Where are we Tanzanian's

    @petu hapa, don't be so foolish, if you continue caring less I won't hesitate to say you are stupid
  12. W

    Ni nini kinamwandama Dr. Chami?

    wakuu hapa naona hatuna mtu safi CCM hata huyo chami inamaana angekuwa na mtazamo angekuwa mbali na mafisadi
  13. W

    Hivi kwa nini sura zetu hazifanani na wamarekani weusi?

    Ngozi ya mwili inahitaji matunzo,matunzo yenyewe yanaanza na chakula unacho kula, mafuta unayopaka na hali ya hewa unayoishi. ukitaka kuami haya ninayo sema hebu tafuta picha za mchezaji wa Ivory Coast Drogba alipotoka ufaransa na kuja England kunautofauti mkubwa katika muonekano wa ngozi yake
Back
Top Bottom