Search results

  1. C

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Nishati na Madini wa out of Pinda's Jurisdiction! Sasa wamesimamishwa tu? Soon tutasikia kamati inaundwa kuchunguza suala zima next watapangiwa wizara nyingine! Shame!!
  2. C

    Tamko la TPN: Ni uzalendo au ukada?

    Moja kati ya madai ya madaktari ni kumtaka KM kujiuzuru, je mdororo wa uchumi unaingia vipi katika hili? Hata kupatiwa audience na viongozi mnasingizia hali ya uchumi??? Jamani wachumi tunaomba kuelimishwa kidogo hapo.
  3. C

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Inasikitisha sana kuona jinsi gani Watanzania tunavyodanganywa wazi wazi! Cha ajabu kuliko vyote akija mgombea mwingine atapita kilaini! Inhali yale yaliyosemwa hayajatekelezwa hata asilimia chache! Mungu tusaidie.
Back
Top Bottom