Hili bomba wawekezaji ni TOTAL nao wanaangalia zaidi gharama za uendeshaji na uhakika wa returns kwa investment yao. Ukiangali route ya bomba, kuna masuala ya usalama upande wa South Sudana na Somalia hivyo risk ni kubwa ya hujuma. Na hii ndio sababu kubwa ya ucheleweshaji wa huu mradi pamoja na...
Wait a minute! Hiki chanzo cha taarifa hizi labda watuwekee sauti ya Balozi Mahiga tuwe na uhakika, hawa jamaa hana record ya positive reporting on Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.