Search results

  1. A

    Omari Nundu, TIC, Pinda...nendeni Lamu Kenya muone

    Cha ajbu wake ECO-IMPERIALISTS kutoka Kenya (WWF& CO) waliopinga tusijenge barabara Serengeti wako kimya juu ya huu mradi kwa sababu una manufaa kwa kenya Tazama from 10:30
  2. A

    Airport Dar wazuia Maiti, wanataka rushwa

    Bonyeza hapo chini MICHUZI: YALE YALEEEEE Nundu na jamaa yake wa TAA hawana habari na hawajali kuwa wanachokizuia ni maiti
  3. A

    Waziri Mary Nagu kumbe alipewa mgao wa Software mbovu ya BRELA?

    Hili sakata lilishajadiliwa sana hapa JF kwa kuanza soma hapa: https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/112298-brela-yakana-kuuziwa-software-tsh-1bn.html https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/113774-mawalla-advocates-yaijibu-jamii-forums-2.html Kisha soma hapa...
  4. A

    Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

    kumbe Mary Nagu alipewa mgao wa hii software mbovu?
  5. A

    MAFISADI wa PPRA hawa hapa

    mimi naona witch hunt JF style hapo
  6. A

    Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    wewe weka vitu humu mambo ya kumezea yamesababisha watu wafe siku aki resign kutoka kwenye public office ndio tutamwacha kwani atakuwa ni private citizen
  7. A

    Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    Deo alikuwa ni mfanyakazi mwenzake lakini pia akuwa ni bwana wake hiyo ni open secret na wenyewe walikuwa hawafichi
  8. A

    Tushamng'oa Blandina, sasa zamu ya Mary Nagu & Stephen Wassira

    JF tushamngoa Blandina sasa inabidi tuhamishe majeshi kwa Mary Nagu na yule babu cha uzingizi Na wala msipate taabu kutaka kuleta hoja za kisomi nyie leteni madudu yao tuyaanike kisha tuhamie kwa wengine Naamini kwa hili itakuwa JF itarudi kwenye misingi ya ke ya asili...kutetea maslahi ya...
  9. A

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Ile thread nyingine imeondolewa nashauri muendelee maana sie wengine ilikuwa tupige bomb of a nuclear proportion Mama ashukuru sana Mods kwaherini
  10. A

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Invisible anafanya kazi ya kihuni Huyu mama kafungua vita dhidi ya JF sasa why cant she get piece of her own medicine?
  11. A

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Nahisi hii yote ni kazi ya Blandina Nyoni
  12. A

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Hatuna haja ya kusema mengi lakini naomba threads zake hizi zirejeshwe hapa kwenye SIASA Leo Bungeni kaenda kupayuka kuhusu JF https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/99912-mama-rwakatare-ni-mtakatifu-au-mtakavitu-5.html...
  13. A

    Ya Mbunge Rev. Rwakatare ni Kweli?

    Bump.............
  14. A

    Mchungaji Rwakatare amtaja Shetani kujitetea

    Return of the mack
Back
Top Bottom