Search results

  1. H

    Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

    Kwa kweli japo umeomba thread iachwe lakini ina hadhi kabisa ya kufutwa!, unaongea kama vile umekamatwa ugoni. huleti hoja ikaeleweka wala huoneshi ukweli wa kile unachokisema. Kwa wale wanaomfaham Blandina Nyoni utendaji wake wa kazi ni Kiongozi makini sana na ni mwepesi wa kusikiliza na...
  2. H

    Msemaji wa Muhimbil National Hospital Bw Aminiel afunguka

    Bantugbro umeshawahi kugoma kwa lolote hata kwenye mgomo wowote ambao wanaharakati waligoma au nawe unataka uonekane tu kuwa unapost? Walimu wako wamegoma mara ngapi mpaka leo serikali yako ilifanya nini? Madaktari waligoma mara ngapi ili kuongezewa posho na wakabaniwa? usikurupuke kupost ndugu...
  3. H

    Msemaji wa Muhimbil National Hospital Bw Aminiel afunguka

    Huo ungamia wako unautumia vibaya, kwani madaktari wameyeyushwa mara ngapi na hao viongozi wako pale walipokubaliana wakutane na viongozi wako wakalala mitini? haya nenda na hiyo pinda wako mkatibu watu muhimbili na kwingineko tanzania. msilete siasa kwenye haki za watu.
  4. H

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    we mama porojo kama fikra yako imeganda kaa kimya kuliko kuwapa wenzako kinyaa. hiyo ni aibu hata mama ntilie hana akili kama yako.
  5. H

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    Pinda nadhani uzee wake anaanza kuutumia vibaya, nadhani huu ni wakati muafaka wasomi wa Tz kuheshimu profession zao na kusimama thabiti pasipo kuyumbishwa na hawa wanaotuhujumu kiuchumi. Daktari akamtoe India ana uwezo wa kulipa kiwa dollars wakati haya madafu kashindwa kuwalipa madaktari wa...
Back
Top Bottom