Search results

  1. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Pamoja na kupigiwa kampeni, pamoja na kuwa akina sykes walikuwa wameshaamua kumpa Nyerere urais, alishinda ushindi mwembamba tu! Hii yote ni kujaribu kumshusha Nyerere au?
  2. S

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Hiyo nahamu nayo kweli. Nitatafuta hata muda wa kwenda kuisikiliza kama kweli kesi itakuwepo...Fanyeni hima mkirudishe na kile chuo cha morogoro kabla hamjafungua kesi maana hicho ni aibu tupu. Mlipewa tu kama njugu.
  3. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Ahsante sana Nyambala. Hii inazidi kuthibitisha kama tulivyosema huko mwanzo kwamba Mohamed Said anasubiri watu watangulie mbele ya haki halafu aanze kuwawekea maneno mdomoni ili kuipa uzito hoja yake. Tujikumbushe kidogo kutoka kwa mohamed said. Lakini baadaye tena Mohamed Said anasema...
  4. S

    Sheikh S. Mwaipopo: Hoja ya watu wa Mtwara juu ya gesi ni Upuuzi!

    Jamani hizi dini zitatuua...imefikia wakati tuziweke pembeni kidogo ili tuweze kufikiria vizuri mstakabali wa nchi yetu maana mambo yasipokwenda vizuri hata kuabudu kwenyewe kutakuwa na walakini...
  5. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Unaonaje ndugu yangu ukinisaidia kuielewa hiyo reference!? Hapa hakuna kuaibika, tupo kujifunza. Mimi kiu yangu ni kujua kama ni kweli hii statement aliyoisema Pengo ilichapishwa kwenye gazeti la majira kwenye tarehe na mwaka husika!?
  6. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Reference niliyopewa na Mohamed Said ni hii hapa chini: Kwa hiyo gazeti la majira la tarehe 24 July ndilo lililochapisha habari hiyo?
  7. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Uchochezi ni kama tunaouona hapa chini...Kujaribu kumhusisha Nyerere/Kanisa na madhila yote wanayokumbana nayo waislam. Au hapa... Inaelekea hujawasoma watu vizuri au unajifanya huelewi. Soma vizuri. Siyo kila kitu watu wanampinga Mohamed Said.
  8. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Acheni porojo. Ilunga hana ushahidi wowote. Ilipoonekana wanafunzi wa kiislam wamefeli kupita kawaida kwenye somo la Islamic Knowledge, mlichunguza na mkaona hitilafu, mkapeleka NECTA/baraza la mitihani, nao wakaona hitilafu katika mfumo uliobadilishwa wa ukokotoaji. matokeo yakakokolewa upya na...
  9. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Hivi hii ligi ya kitoto mtaacha lini? Sasa kwani huu uzi kaanzisha nani? Mohamed Said au Yericko? Mzee wenu mweyewe maji yamezidi unga, ngoma imekuwa nzito sana kwake! Kimsingi mjadala umeshafungwa...ngoja tuwaache mkiendelea na ligi yenu ya watoto...
  10. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mimi sizungumzii ya Mohamed Said. Nazungumzia ya huyo mwenzako kuhusu yule mtoto wa kike wa kiislam(very bright) aliyenyimwa nafasi ya kwenda form 1 kwa sababu ni muislam. Nikauliza mlipewa ushahidi au mnameza tu ngano za ustaadhi ilunga? jina lake ni nani? jina la huyu mkristu aliyechukua...
  11. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mwambie ndugu yako alete ushahidi wa tuhuma zake...wapi niliposema au kukubali kwamba wapigania uhuru walikuwa 17 tu? Nionyeshe tafadhali!
  12. S

    Mwanza: Nyama zakosa wanunuzi machinjioni!

    Wengine tulisemaga tangia mwanzo. Wenzetu waislam wanatafsiri vibaya uvumilivu na busara za wakristo. Kulikuwa hakuna sababu ya kwenda kwenye vyombo vya dola baada ya kula nyama ile. Ingetumika busara tu kwenye majadiliano ya pande hizi mbili. Mbona sisi tulikuwa hatulalamiki tulipokula nyama...
  13. S

    Mwanza: Nyama zakosa wanunuzi machinjioni!

    Hapana...Tanzania nzuri zaidi inakuja. Tukitoka kwenye hili tanuri la moto , Tanzania itang'aa kama dhahabu maana kila mmoja wetu bila kujali dini atakuwa na busara/uvumilivu. Ni lazima tufundishane hivi vitu hata kwa staili hii...
  14. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Yaleyale ya 'ngano'. Huyo mtoto aliyebebeshwa mimba hana jina? Huyo mkristo aliyependelewa hana jina? Kwani nyie mmeshaoneshwa huo ushahidi au mnameza tu kila kitu mnachoambiwa kwa sababu kimetoka kwa shehe/ustaadh!?
  15. S

    Kikwete: Tunajua biashara ya dini inalipa, lakini msiivuruge Tanzania

    aliokuwa anawazungumzia kikwete ni kama wale jamaa wanaonyea ndoo kwa kuiba nondo za watu...si unawajua?
  16. S

    Kikwete: Tunajua biashara ya dini inalipa, lakini msiivuruge Tanzania

    kikwete vs wachochezi(basaleh, ponda, mohamed said, ilunga)...hii ni mechi au kiini macho...
  17. S

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Unaona ulipojikwaa? Na mzee Mohamed Said naye alijikwaa hapohapo. Kama Mohamed Said hakufanya utafiti kwa mapadre/viongozi wa dini wa kikistu , ilikuwaje akaweza kuwaweka kwenye kitabu/papers zake? alikwenda kuwauliza au amenukuu tu kutoka kutoka kwa waandishi wengine? Nyerere nae alihojiwa...
Back
Top Bottom