Simlaumu sana lusinde kwa anayoyafanya coz tatizo sio yeye but ni level ya elimu aliyonayoa.nadhani sasa umefika wakati muafaka wa kuweka minimum educational level kwa mtu anayetaka kugombea ubunge kua angalau form four au six,karne ya 21 bado tunaendekeza wabunge wa darasa la saba hatuwez pga...
Siwezi kumlaum mh et kwakua kapita morogoro wakat kuna short way ya dodoma iringa,kwanza vx za version hiyo sio nzuri sana kwenye rough road coz zinahama sana kwenye rough road so ingekua ni hatari zaidi ukizingatia ilikua usiku ingekua ni nissan patrol hapo tungeweza mlaumu kwa kutopta huko...
Siku hizi shule za vipaji zimeingiliwa coz asilimia kubwa wanao enda huko wanafauulu vizuri utokana na high spooon feeding kwenye private schools then waienda kwenye special za gvt ambazo ufundishaji haupo guaranteed na changamoto za gvt schools brding lyf advanc wanajikuta wanachemka,vpaji ce...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.