Search results

  1. V

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    siamini kama kupewa vyombo uoshe na kuambiwa uchunge mbuzi kama ni mateso, mf mie nimelelewa na wazazi wangu wote wawili, lakini tulikuwa tunaenda kuchunga ng'ombe, tulikuwa tunapika na kukata majania ya ng'ombe wakati wa mvua. Na vyombo tuliosha sana....sa sijui na mie niibuke niwanmbie wazazi...
  2. V

    Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

    kuelewa nako linatakiwa liwe ni somo jipya, me nadhani labda wanataka MUNGU awaonee huruma, kitu ambacho si kibaya hata kidogo, kwani hata na Wamarekani ambao ni mfano wa waliofanikiwa wameandika kabisa kwenye nembo ya taifa lao kuwa "IN GOD WE TRUST", pia katika wimbo wetu wa taifa tunasema...
  3. V

    Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi?

    Nadhani huo ndio mwisho wa safari yake kisiasa.
  4. V

    Ismail Jussa na siasa katika ELIMU

    kuna uhusiano gani sasa hapo?
Back
Top Bottom