Search results

  1. D

    Wabunge wa CCM hatarini kukwamisha Mswada wa marekebisho ya sheria ya Katiba Mpya

    Tanzania siasa uchwara Rosta Azizi Uko sahihi nakupa Big up kubwa siasa TZ haina mbele wala nyuma mswada wa katiba TZ inaenda inarudi katiba uchwara Bora wangerudi wazungu Watubige viboko kama mang'ombe.:canada:
  2. D

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    WILLIAMSONDIAMONDS hawataki kutengeza mkataba wa hali bora COLLECTIVE BAGGEINE AGGRIMENT uliopo umeisha 1999 mpaka leo union ikiomba kuongea na wamiliki wanaambiwa kampuni inafanyakazi kwa hasara kwakuwa SHERIA YA AJIRA NA MAHUSIANO INAWABANA UNION NA WAFANYAKAZI WANASHINDWA LA KUFANYA { CMA}...
  3. D

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    REF; kero yangu sheria ya ajira na mahusiano mahala pa kazi ya 2004 iliyoanza kufanyakazi 2007 namba 6 na 7 vyama vya wafanyakazi na wafanyaka kwa ujumla hawana haki haki zote za kisheria amepewa mwajiri CHADEMA SOMENI HII SHERIA VIZURI KWA MAAKINI INAMAPUNGUFU MENGI BUNGE IPITIE UPYA na...
  4. D

    Sheria ya ajira na mahusiano mahala pa kazi bunge pitieni hii sheria inampa mwajiri mwanya mkubwa

    Angalia mfano huu mwajiri amepewa uwezo wa kumkataa mfanyakazi wake mahakamani hataka mfanyakazi huyu ameshinda kesi.
Back
Top Bottom