Search results

  1. M

    Nimeshaivua rasmi vyeo UDOM

    Ni kweli wahusika wa website ya udom kwa kujua au kutokujua wanakiharibia chuo chao. Tovuti yao ni tatizo katika utoaji wa habari kwa wakati
  2. M

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Kwa postgraduate wanazituma kwenye account aliyoitumia mwombaji sina hakika kwa undergraduate lakini kwa uzoefu huwa hazitumwi kama wanavyofanya sekondari
  3. M

    CHONDECHONDE AZAM MEDIA.

    Nahisi tatizo TV1 wanaonesha kombe la mabara na startimes ndio wamepewa kuonesha hizo mechi. Naona wameleta kikwazo kwa azam nao azam hawataki kuweka wazi
  4. M

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Shirika la Umeme Tanzania - TANESCO

    Tangu juzi Jumapili saa 8 mchana hadi sasa maeneo ya Vingunguti na Tabata Msimbazi hakuna umeme. Sijui hii Tanzania ya viwanda tunaifikiaje.
  5. M

    Bodi ya Mkopo imenikata wakati haikunisomesha, tafadhali nisaidieni nimechanganyikiwa!

    Kama hujatumia hela zao wana ujasiri gani wa kukukata? Wewe fungua kesi ili hata hiyo amri ya kusitisha makato wapelekewe na mahakama
  6. M

    Polisi: Marufuku Waandishi na Wananchi kukusanyika Polisi watuhumiwa wakiitwa kuhojiwa

    Hapo sasa, waandishi wa habari wakapatie wapi taarifa sijui
  7. M

    Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

    Siyo ITV tu hata EATV nayo ina scratch sijui star times iko kwa maslahi ya nani
  8. M

    Kutoka Zanzibar: CHADEMA yawa agenda ndani ya CC ya CCM

    Yetu macho na masikio sarakasi za kuelekea Oktoba 2015
  9. M

    Rais Kikwete amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Aliyekuwepo kabla ya tumbili, akiitwa Johnson Mwanyika hakuwa mkaskazini kweli!
  10. M

    Tawi letu la Buzuruga Mwanza limezinduliwa

    Hata mbuyu ulianza kama mchicha
  11. M

    Panya Road ni "Mpango Maalum"

    Panya road, panya buku hata mbwa mwitu walikuwepo kabla ya hawa vijana wazalendo. Kwa hiyo hakuna uhusiano wa kufunikana hapo
  12. M

    AG Werema alishastaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria

    Huku kujiuzuru kwa AG Werema leo na post hii ukweli ni upi sasa?
  13. M

    Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    Laiti kama serikali na wabunge wa ccm wangejisumbua tu kidogo kuchambua mchango wa huyu waziri wa nchi ikulu kazi maalum, bunge lisingefika hapa lilipo
  14. M

    Mtera: Lameck John Lubote aanika unafiki wa CHADEMA

    CHADEMA kuondokewa na mtu kama John Lameck Lubote ni kupunguza mizigo. Kwa tunaomfahamu tulijipa muda na sasa yameanza kudhihirika kabla hata ya muda wa kumtazama. Inadhihirisha hata jinsi alivyofukuzwa NMB Mtendeni branch Dodoma, kufukuzwa kibarua Tanesco na kuachwa na mkewe. Kwa kifupi huyu...
  15. M

    Kura ya Hapana yazidi kupaa CHADEMA , Humphrey Polepole, Prof. Lwaitama na Askofu

    Hiyo inayoitwa katiba pendekezwa ikiletwa kama ilivyo kupigiwa kura nitaipigia kura ya HAPANA
  16. M

    Polisi, wanahabari na serikali

    Vitendea kazi (kama hiyo sare maalumu) ni muhimu kwa wanahabari lakini matumizi ya nguvu kubwa kuliko maarifa (kwa upande wa wanausalama) ni kujenga chuki kwa jamii
  17. M

    Polisi Dodoma wazuia msafara wa kanda ya magharibi waliotoka mkutano mkuu dar es salaam

    Tatizo la vyombo vyetu vya ulinzi vinatumia nguvu kubwa kuliko akili
Back
Top Bottom