Search results

  1. K

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    Ole wao wasio soma alama za nyakati.Jamani watu aina ya akina Bana huwa wapo nao wamo kwenye MSAFARA,ki uhalisia wanajua nini kinaenda kutokea then wanajaribu kupotosha jamii juu ya ukweli wa mambo kama njia ya kujihami. Hakuna asiye jua kama wao ni vibaraka wa CCM
  2. K

    Chadema na nccr vyafunga ndoa

    Kudumu si hoja.Ila inategemea nini hawa NCCR wamelenga.Kitu ambacho nahisi IS STILL A COVERT ISSUE.
  3. K

    Hoja nzito kwanini CCM ni wakupewa likizo

    Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina yake na kisha kila mmoja kwa nafasi yake ama yeye mwenyewe kuchua hatua au kuelimisha jamii inayo tuzunguka.nimezingatia makundi totofauti totofauti katika jamii, kwa mana...
  4. K

    Hoja nzito: Kwanini CCM ni wakupewa likizo

    CCM kushindwa kuwa kuwavua magamba mafisadi si wakupewa nchi tena. Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina yake na kisha kila mmoja kwa nafasi yake ama yeye mwenyewe kuchua hatua au kuelimisha jamii inayo...
Back
Top Bottom