Search results

  1. Ayochemical

    Msaada namna yaku upload vyeti certified ajira portal

    Wakuu poleni na majukumu msaada kwa wajuvi kama inavoonesha apo kichwa cha thread ,Mwanzo nili update original certificates nilipoomba ajira nikakataliwa nakuambiwa cjaweka certified certificates, tatizo linapokuja kila niki edit naku upload crtfied sasa majibu inayonipa ni ayo apo chini msaada
  2. Ayochemical

    A serious woman is needed for stable relationship

    best ov luck bro???
  3. Ayochemical

    Why Most educated People are poor ?

    Not only a message ts a liberation article mweny masikio na asikie.....ukweli mchungu be blessed sir.
  4. Ayochemical

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    ivi mpaka sasa idadi ya wanaopata mkopo kwa mwaka uhu wanaoingia mwaka wa kwanza ni wangap?\
  5. Ayochemical

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    ufinyu wa hoja zenye mashiko na kuwa na mawazo mufilisi ya viongoz ndio yanatufikisha apa inauma sana ngoja niishie apa maana sina milion 7 za kulipa faini.....
  6. Ayochemical

    Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

    asante nashukuru kwa busara na ushauri wako
  7. Ayochemical

    Nimeitwa kuanza mafunzo ya jeshi la zimamoto

    Habari za asubuhi wakuu ,jana nimeitwa kuanza mafunzo mara moja katika jeshi la zimamoto ambayo maombi tulituma mwaka juzi Nilipoona ukimya niliamua kuanza masomo ya degree ya kwanza ambapo kwa sasa naingia mwaka wa tatu na ndipo wao wametuma jana meseji kua natakiwa kuripoti nombeni ushauri...
  8. Ayochemical

    Msaada Kuhusu CRDB VBV/Secure Code!

    MKUU MM NINASHIDA KAMA YAKO LAKINI NIKIINGIZA MAJINA MAWILI WANAKATAA
  9. Ayochemical

    Natafuta mwanaume wa kunioa

    mm nipo tayari kua na ww ila nataka uwe unanilea maana ww umekua ndo mwanaume unanitafuta ...
  10. Ayochemical

    Nitampataje mchumba wa kizungu?

    mkuu ingia kuna website moja inaitwa www.datanta.com kaz kwako sasa
  11. Ayochemical

    Nikisikia mwanaume amedate na wadada wengi 10+ huwa sijisikii amani

    hahahahahha unanipaga raha sana ww kiumbe
  12. Ayochemical

    Nitampataje mchumba wa kizungu?

    Beutyful gal with a beutyful mind
  13. Ayochemical

    Inakuwa dhambi kumtafutia rafiki yako wa kizungu mke Tz?

    Mkuu ww unganisha human traficking yakujitakia ata aina tabu ww connect alafu waachie wahusika wamalizane
  14. Ayochemical

    Inakuwa dhambi kumtafutia rafiki yako wa kizungu mke Tz?

    Kaka uku hali mbaya mkuu concider our request
  15. Ayochemical

    Inakuwa dhambi kumtafutia rafiki yako wa kizungu mke Tz?

    Mkuu naomba ukipata vibibi ata mi mama sio mbaya tunaitaji sana kuzama uko mkuu maana iyo fursa ni nzuri kaka tz kumekua kwaki ngese mambo ayaendi tujaribu plan c
  16. Ayochemical

    Nini umuhimu wa bunduki kubwa?

    njoo nkiazme yangu....tango
Back
Top Bottom