Search results

  1. F

    Uchafu wa st.john university adharani.

    Nashawishika kuamini hizi taarifa cyo za kweli. SJUT kuna faculties/schools 6. Lakini naona maelezo yako yamebase FOCB tu. Sasa utasemaje chuo kifungwe kwa matatizo ya faculty moja?? Usidanganye watu kwa taarifa ambazo hazijakamilika bana. Usipoteze muda wako kaka. Jipange upya utuconvince.
  2. F

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Thanx arselona mada imenifundisha v2 vng sana kuhusu fta, receiver na dish. Hyo elementary knwledge inanitosha ctaki kuwa fundi wa receiver.
  3. F

    Je naweza kumjua mtu anaetumia arv

    Swali rahisi! We unaweza kujua mtu anaemeza Panadol?
  4. F

    Hii mimba jamani, mwenye uelewa..

    Sometimes the informal is the best way!! Nyie mnabishana alaf watu wanapata knowlegde... By the way good work guys.
  5. F

    Taboos (Miiko) Wakati Tunakua.

    Ukienda kununua chumvi dukani usiku hutakiwi kusema chumvi inabidi useme 'dawa ya mboga'.
  6. F

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    2015 tutakuwa na katiba mpya itakayo ondoa kinga ya kufunguliwa mashtaka kwa marais wastaaf. Tutaanza kumfunga baba mwanaasha
  7. F

    Maandamano makubwa ya Madaktari yaja (wiki ijayo)

    Sasa we ulitaka wagonjwa wapewe nini wakati hospitalini kuna panadol peke yake. Option iliyobaki kwa Dr ni bora wagonjwa wafe bila kusikia maumivu. Haina shida tumeshazoea hata kwa panadol tunaponaga malaria.
  8. F

    Enzi ulipokuwa boarding

    Siyo ilboru.. Ni old moshi.
  9. F

    Tahadhari: Mtandao wa tigo siyo salama, umeingiliwa na matapeli.

    cmoney mimi password yangu huwa naichange kila baada ya muda flan kupita. Na wala cyo mwaka wangu wa kuzaliwa.
  10. F

    Tahadhari: Mtandao wa tigo siyo salama, umeingiliwa na matapeli.

    Habari za sa hizi wanajf, Nimeona ni bora niwashirikishe hili jambo ambalo limenitokea mimi binafsi. Siku ya J4 tarehe 17/04 around sa sita mchana nilipigiwa simu(0717183749) na mtu aliejiita customer care wa tigo lengo likiwa ni kurekebisha huduma za tigo pesa, Akataka nimpatie namba ya fomu...
  11. F

    Wizi wa aina Yake, Kuweni makini na mtoe tahadhali kwa wengine

    Mimi sishangai intellijensia ya police wa tanzania kwa sababu wengi wa askari wake kwa ujumla ni wale wenye matokeo dhaifu kidato cha nne na hawakuwa na uwezo wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano. Wakaona kujiunga na police ndiyo "shortcut kwao" Uwezo wa kuyafanyia mambo uchunguzi mimi...
  12. F

    Nyakati: Barua ya Wazi kwa Rais wa Tanzania

    Sikio la kufa halisikii dawa
Back
Top Bottom