Search results

  1. Gwankaja Gwakilingo

    Humphrey Polepole ni nani?

    shule ya uongozi
  2. Gwankaja Gwakilingo

    Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    kabisa kesi iliwashinda mahakamani mashahidi wakagongana gongana ushahid ukashindwa kuungana Ilitosha kabisa kuacha kuendelea na kesi
  3. Gwankaja Gwakilingo

    Kesi ya Mbowe imetuachia kumbukumbu isiyofutika, kwamba Serikali ilithibitisha Mbowe ana kesi ya kujibu, ushahidi ulitosha!

    Tafsiri ya hili ni kwamba serikali imejivua nguo imeshindwa kuthibitisha hiyo kesi waliosema hao wamba wanayo
  4. Gwankaja Gwakilingo

    Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    asie mwadilifu hapa ni nani sasa huyo alieshindwa kuthibitisha shtaka au huyo alieachiwa huru?
  5. Gwankaja Gwakilingo

    Wakati Uingereza wanashinikiza Waziri Mkuu wao ajiuzulu, sisi hapa Tanzani, Polisi anamchoma sindano mfanyabiashara na kumuua tumekaa kimya!

    Nasikia zamani wakubwa wetu waliwahi kula kitu inaitwa Bulga nadhani hii kitu ndio imeendelea kuathili kizaz hata kizazi
  6. Gwankaja Gwakilingo

    TCRA haina malaika ya kuzuia Darasa la Uongozi.S

    kweli kabisa wakifungulie maana Mahafali yetu ilikua yafanyike march 2022 sijui itakuaje wanafunzi tumeshikwa na butwaa
  7. Gwankaja Gwakilingo

    Ujue mkoa wa Mbeya kwa ufupi

    Msitusahau na sisi tunaoishi Ilolo jamani
  8. Gwankaja Gwakilingo

    Jinsi kampuni ya Sauli Luxury Bus ilivyofanikiwa katika biashara ya usafirishaji

    Samahani, Sauli huyu na yule aliekua mbunge wana unasaba?
  9. Gwankaja Gwakilingo

    Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

    Sidhani kama nchi itahitaji Rais 2025 wakati wa kuishi bila Rais umewadia ili tujitathmin kujua wapi huwa tunakosea...kusiwe na rais kabisa Ikulu ifungwe kwa kipindi iko utafutwe utaratibu mwingine wa kuongozwa
  10. Gwankaja Gwakilingo

    Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

    Mwanaume anayeacha pesa nyumbani na kuacha nafasi ya matumizi kupangwa na mke ndiye mwanaume bora kabisa kwa matumizi ya nyumbani mwanamke ana phd yake tangu eden
  11. Gwankaja Gwakilingo

    Halmashauri ya Jiji Mbeya nawapongeza kwa uamuzi wa kujenga City Mall

    Kwa eneo lile haiwezi kuiws city mall labda city grocery
  12. Gwankaja Gwakilingo

    Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

    Hata sijui uliponaje kule kwa kibwetele uganda maana mawazo ni ya kule kule
  13. Gwankaja Gwakilingo

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    [emoji23][emoji16][emoji3][emoji23][emoji16][emoji3] chakufurahisha zaidi niliona meza zikigongwa pu! Pu! Pu! Yaani [emoji23][emoji16][emoji3]
  14. Gwankaja Gwakilingo

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    [emoji23][emoji16][emoji3]kwa hiyo mabeberu wanawaonea wivu upcoming superpowers kwa kuwaletea chanjo ya covid 19 Ila chanjo nyingine hawawaonei wivu.... Inahitaji uwe na akili ya mwendawazimu ili kukuelewa
Back
Top Bottom