Search results

  1. K

    China kuleta watalii 10,000 Tanzania kila mwaka

    Wachache sana, sioni cha kujivunia hapo, kwanza kwanini waseme watawaleta, wanatupangia idadi ya wataliii kuja kutembea hapa nyumbani?! vitu vya kustaajabisha kabisa. Any ways mwaka jana watalii takribani 90,000 kutoka china walitembelea South Africa
  2. K

    The Emperor Jean-Bedel Bokassa

    Ritz vipi! unaweweseka?!
  3. K

    "...Mwisho wa UONGO ni AIBU!" - Ni Kweli Nape na UONGO Mwingine huo hapo - miezi 3 bado tu...?

    Kibaya zaidi Mh. Rais anahusika na wameshindwa,udhaifu ulioje? halafu mtu kama Nape aseme wananchi wanaimani na ccm? wanajifariji sana wanadhani wananchi wajinga, wasahaulifu, wananjaa, wanatudharau sana.Mwisho unakaribia.
  4. K

    Mtazamo: Mashambulizi ya "kigaidi" ya ulipizaji visasi sasa tuyatarajie kwa vigogo na polisi

    Uko sahihi kiongozi. Tatizo darsa za Ustaadhi Ilunga ni balaa,yeye anawaambia Waumin, kama Sheikh anauliwa hamna haja ya kuandamana, mnamtafuta Padiri mnamuua,mkiua wanne watashtuka,anarejea Kenya ambako Masheikh waliuliwa na Polisi. Kwao tatizo sio Polisi kuua Masheikh tatizo ni mfumo Kristo.
  5. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Kuna vikundi vya hatari kabisa nchi hii,sijui ni vya kijasusi,wana mtorosha mtu kwa mbinu sana toka uwanjani wanamtorosha na polisi wanahaha kumtafuta!!? sijui ni mafunzo au naturally wamezaliwa hivyo?!
  6. K

    Mtazamo: Mashambulizi ya "kigaidi" ya ulipizaji visasi sasa tuyatarajie kwa vigogo na polisi

    Kwanini siasa imelifanya neno gaidi kuonekana la mzaha,linatujengea picha gani kwenye jumuia ya kimataifa? kuna magaidi Tanzania?! CDM magaidi,uamsho magaidi,kumwagiwa tindikali ugaidi,wanalipua mabomu makusudi wanadai ugaidi,kupigwa risasi Sheikh Ponda na polisi nao ni ugaidi! au Sheikh Ponda...
  7. K

    Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kibondo ajiuzulu

    Nakwambia ni kivumbi
  8. K

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Sio kikao ndo kilikuwa kinaanza? huko dar si foleni inasumbua?! ila mwigulu anakibinda, pacho pia ni mwamba na anakata mauno,mwigulu hachezi mbali
  9. K

    Ni kweli, Lowassa alipora kiwanja cha KKKT Mbezi Beach!

    Hivi yule mrwanda yukwapi? waliyemwibia mali zake kwa kushirikiana na mama rwakatare, eti nae anatoa mapepo! aje afungue kesi,lowasa achana na siasa pumzika,utakuja kumwaga damu arifu
  10. K

    Je? Ilikuwa mapema mno au makosa kuiingiza Rwanda Jumuia ya Afrika Mashariki?

    Ilikuwa ni mapema mno,binafsi nilistuka lakini kukawa na hoja za kama kuwaonea huruma wanyarwanda hivi;ni kanchi kadogo,majirani sana,wametoka kwenye vita kubwa punde tu,tuunganishe kuvu za kiuchumi na kisiasa na nyinginezo. Sidhani hata kama kulikuwa na muda wa kutosha kuwajua kwa kina...
  11. K

    Kwa hili la Mh Pinda, LHRC mmechemsha, mmekurupuka!

    bullet proof, we ni shida.
  12. K

    Rais Kikwete, Kamata Wafanyabiashara wa Madawa ya Kulevya, Nchi Haitatikisika...

    Na mzee wake amesafiri jamani! Kama Riz alipenyeza mtu wake na akawa kama mjumbe wa msafara, airport ni kama diplomat,hakaguliwi! aaaah biashara imefanyika kwa kweli.
  13. K

    Hongera sana Rais wetu Jakaya Kikwete, kwa ujenzi mkubwa wa barabara Tanzania

    barabara kujengwa ni lazima zijengwe,nisifie nini?! miundo mbinu ya usafiri wa nchi kavu ni lazima ijengwe nchi nzima,tatizo mingine wanaua kabisa,cheki reli! hoi! anyway ni kampuni ya reli ile inafilisika! hakya mungu!
  14. K

    Wakoloni walitugawa na kutupa alama za kudumu

    Samahani unauhakika mkuu
  15. K

    Polisi wanaswa na meno ya tembo

    Kwenye hili suala la meno ya tembo kuna movie tunachezewa nini? hii sasa too much,tukiandamana kuna tatizo?! Napata hasira sana. Yani na wingu lote hili bado kuna raia wa nchi hii wanaendelea kuua tembo?! No way tumechoka! Tupazeni sauti hata kwa kuandamana serikali ijue wanatukera,hatuwezi kuwa...
  16. K

    CHADEMA Yazizima TANGA

    Lifungieni
  17. K

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    Ndio ni chaguo la Mwenyezi Mungu. Kwani kila amualo Mweyezi Mungu linakusidi hakika na kupitia JK tumejua ikulu si mahali pa mchezo mchezo, mafisadi yanaelekea ukingoni,ccm imeonyesha wazi imezeeka na haiwezi tena kuongoza mana nivurugu na aibu tupu tuliyonayo watanzania sasa,na ccm inajituoa...
  18. K

    William Malecela kumvaa Lusinde uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Mtera!

    Ni kuyaaacha yapigane tu,najua dk za mwisho yataanza hadi kulogana mpaka limoja life,potelea mbali. Yote bure kabisa
  19. K

    Mh. Lema: Wakati Kikwete akiomba kondomu kwa Obama, magazeti nayo yaliishia kuandika viuno

    Ritz,hii topic juu ya Mh. Lema ni ya ukweli? Kama ndiyo mbona unatoka povu bila hoja? Au ndio liwalo na liwe?! Lema kakosea nini kama topic ilivyoletwa na mdau? Jenga hoja. Mi nadhani waandishi watakuwa na mchango mzuri hapa zaidi yako,gamba mbaya kabisa wewe.
  20. K

    Nini hasa kilicho mfanya Nyerere ang'atuke madarakani?

    Bora hata hilo limfumo la ubepari Nyerere alilichelewesha kufika hapa nyumbani. Kama kwa level ya sasa ya wasomi na wataalam ubepari unatutoa kamasi hivi? Je hicho kipindi chake angeuruhusu ubepari leo huenda tungekuwa ka Kongo!? Namuheshimu daima kwa uamuzi wake wa kung'atuka iwe kwa aibu au...
Back
Top Bottom