Search results

  1. Bosco Ntaganda

    Tafakari ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wetu mkuu Awamu ya 3, Benjamin Mkapa

    Angalau COVID -19 imepiga ngazi za juu huko ili kuwashikisha adabu watawala VIBURI, R.I.P Mkapa.
  2. Bosco Ntaganda

    Bernard Membe yupo kweli?

    Dogo tuseme hili mara ngapi ili uelewe? Tume bado haijapitisha wagombea, kwahiyo hakuna kitu kama hicho. Ni propaganda za WAHUNI WACHACHE huko CCM, umeelewa sasa? ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI..
  3. Bosco Ntaganda

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi, ilikuwaje ukawa Mbunge wa Mkuranga, mkoa wa Pwani, na sasa unaenda kugombea urais Zanzibar?

    Mgombea wa kukodi huyo, Wazanzibar hawana sifa ya kusimamisha mgombea u Rais kupitia CCM huko. Inasikitisha sana. ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA WA IMLA/MKONO WA CHUMA SASA BASI..
  4. Bosco Ntaganda

    Natafuta sehemu tulivu ya mapumziko mwisho wa mwaka ndani ya Tanzania

    Mkiweka na gharama zake itapendeza zaidi.
  5. Bosco Ntaganda

    Uchaguzi 2020 Zitto Zuberi Kabwe: Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo na kila Kata

    Ndugu Zitto yeye asubiri tu matokeo ya uchaguzi Mkuu, baada ya hapo Vyama vitapangwa na idadi ya kura watakazo vuna huko.
  6. Bosco Ntaganda

    Mwendokasi yaua mtu Ardhi-Kivukoni, chanzo kuchat wakati akivuka barabara

    Safi, na vitendo hivi vya KIFEDHULI vya kuzuia haki za wengine kuishi, vinavyoendelea chini ya utawala huu DHALIMU wa CCM vinapaswa kupingwa kwa nguvu zote na kila mpenda haki na mwenye HOFU YA MUNGU. ITOSHE TU KUSEMA, MITANO YA UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI...
  7. Bosco Ntaganda

    Uchaguzi 2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    Aisee, laana za akina Ben Saanane, Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotezwa kimabavu na utawala huu wa CCM imeanza kufanya kazi.
  8. Bosco Ntaganda

    Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    Uwezo wa kutumia akili wa mapolisi ni mdogo sana, wanadhani wote tunalingana nao. Mauaji mengi ya KIFEDHULI bado yanafanyika nchini, kilichobadilika mbinu za kuua tu. ITOSHE TU KUSEMA, UTAWALA HUU WA MKONO WA CHUMA SASA BASI.
  9. Bosco Ntaganda

    Dar es Salaam: Polisi waua majambazi wanne na kufanikiwa kukamata silaha mbalimbali

    Hapo kuna mchezo mchafu, taarifa za mapolisi huwa ZIMEPINDAPINDA SANA. Ukifuatilia sana unaweza kuta ni kama ule mchezo wa KAMANDA ZOMBE na wale Wafanyabiashara wa madini. Hata hivyo jambo jema ni kwamba KILA NAFSI ITAONJA MAUTI, sisi sote tu wasafir hapa duniani. MITANO YA UTAWALA WA MKONO...
  10. Bosco Ntaganda

    Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    CCM wanatapatapa tu kila kona, aliyewadanganya upinzani umekufa sijui wanatazamana vipi huko? MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA...
  11. Bosco Ntaganda

    Uchaguzi 2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Kwani Mh Jaji Kaijage ni mwakilishi wa CCM huko NEC? Kauli yako ya "Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote" inafikirisha sana Mkuu. MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA..
  12. Bosco Ntaganda

    Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Sio kulipwa Mkuu, magu ANAJILIPA bilioni 1.2 kwaajili ya MATUMIZI BINAFSI kila mwezi. Pesa hiyo ni nje ya mshahara, posho, marupurupu na huduma nyinginezo. Urais mtamu sana, usione usishanagae utitiri wa vijana wenye njaa humu mitandaoni kutwa kucha ni kusifia, kuabudu, kutukuza na kupamba kwa...
  13. Bosco Ntaganda

    Mbowe anajilipa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi. Wapinzani ni walafi na wabinafsi

    Magu anajilipa bilioni 1.2 kwaajili ya MATUMIZI BINAFSI kila mwezi, pesa hizo ni nje ya mshahara, posho, marupurupu na huduma nyingine zote anazogharamikiwa BURE na Serikali. Hivi vitendo vya KIFEDHULI vya kupoteza wakosoaji, kushambulia wapinzani kwa vipigo na risasi mchana kweupe, kuchoma...
  14. Bosco Ntaganda

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, huku ni kutafuta wadhamini au ni kampeni?

    Ndugu, tuungane ili kuutokomeza utawala huu wa MABAVU, utawala usio na uchungu wa maisha ya watu wake. Utawala ambao uko tayari kupoteza raia wema na kushambulia wengine kwa mvua za risasi tena mchana kweupe kwa tamaa na uroho wa madaraka.. Utawala ambao umewatelekeza vijana na kuwaacha wengi...
  15. Bosco Ntaganda

    Kama Tundu Lisu anashambulia na CCM ishambulie pia isipaki basi, ipande na kushuka kama timu

    Ndugu, tuungane ili kuutokomeza utawala huu wa MABAVU, utawala usio na uchungu wa maisha ya watu wake. Utawala ambao uko tayari kupoteza raia wema na kushambulia wengine kwa mvua za risasi tena mchana kweupe kwa tamaa na uroho wa madaraka.. Utawala ambao umewatelekeza vijana na kuwaacha wengi...
  16. Bosco Ntaganda

    Waziri Mwinyi alikwepa JKT kwa mujibu wa sheria

    Kazi kwenu Wazanzibar na mgombea wenu wa Urais wa kukodi, akitokea bara..
  17. Bosco Ntaganda

    Huwezi kumlinganisha Lowassa na Lissu. Lowassa alikuwa na mvuto kuliko Lissu

    Kuingia Uchumi wa kati bila AJIRA KWA VIJANA ni SIFA ZA KIJINGA. MITANO YA UTAWALA WA MKONO WA CHUMA, INATOSHA...
Back
Top Bottom