Tuna watanzania wazalendo wa kutosha kuendesha bandari zetu zote na zikaleta tija. watu type ya Mchechu NHC wapo tuwatumie kwanza kabla ya kuwapa wageni chakula mezani.
Mahusiano ya Bishop wa Jimbo hilo na awamu iliyopita yalikuwa mabaya sana kwa wale mtakaokumbuka. Amekwenda mwenyewe kurudisha mahusiano hayo na kujenga daraja jipya.
Unalinganisha nyumba ya kuishi mtu na familia yake na Taxi ya Uber/bolt ambayo unapanda na kushuka muda mfupi baada ya kufika unakoenda? Nyumba ya kuishi mtu na mkewe na watoto wanaosoma chekechea, msingi na sekondari ina attributes nyingi zaidi. Fanya utafiti kwanza kabla hujaandika
Msitukane watu bila sababu. Mngeomba kwanza BOQ yake ndipo muanze kulalama. Kyerwa isiyo Dar au Morogoro. Iko mbali sana na viwanda na masoko ya vifaa vya ujenzi nchi hii. Mfuko wa cement pale mnajua bei yake? Aluminium Profiles zilizotumika je? mabati hayo siyo SIMBA DUMU bei yake mnajua...
Duniani kote kodi za majengo ni chanzo muhimu sana cha mapato kwa Local Authorities na mapato hayo yanakwenda moja kwa moja kuwaletea maisha bora wakazi wa mji husika . Fedha haziendi serikali kuu na wala property tax ya Dar haiwezi kwenda kujenga miradi Bukoba. Property tax hutozwa kwa...
Uraia pacha una madhara mengi zaidi kiusalama kuliko huo uwekezaji unaoshabikiwa. Tusipokuwa waangalifu kama taifa kuna siku itafika hata kupata viongozi wa nchi itakuwa taabu maana kila mwenye sifa unayemgusa agombee uongozi tayari ana harufu/ni zao la uraia wa nchi mbili. Mbaya zaidi ni kama...
Tafuta kwanza historia ya eneo la NAFCO Kigamboni na jinsi alivyolipata ndipo uongee. Manji hakutendewa haki. Alistahili kulipwa fidia ya haki na siyo kumnyang'anya. Sitetei mambo mengine ya hovyo ya Manji kama kweli yapo.
Halafu kwenye wasifu wake tumeambiwa na TBC kwamba marehemu alisomea SHAHADA YA UHANDISI WA UMMA hapo Mlimani UDSM. Yaani CIVIL ENGINEERING kwa Kiswahili ni Uhandisi wa Umma..? Mambo gani haya. Shame!!
Copacabana beach in Rio is well developed na serikali na wala hakuna kiingilio hata kwa wageni. It's free! Kodi zinazokusanywa zirejeshwe kwa wananchi kwa kuwajengea huduma kama hizo. Siyo kutoza watu fedha kwenye kila kitu.
Sheria ya Nembo za Taifa (The National Emblems Act Cap. 10 R.E 2002) katika kifungu cha 6 ni kosa la jinai kutumia Nembo za Taifa au mifanowe kama trade mark katika kutangazia bidhaa au kitu chochote kilichouzwa au kinachouzwa; kwenye matangazo ya biashara au katika MATUMIZI MENGINE YOYOTE...
Mnataka kutuletea migahawa ya NANGURUKURU huku kaskazini.? Bakini nayo huko huko njia ya Kusini. Kuna siku nilienda Mtwara magazine 2 yakasimama nangurukuru vyoo vya wanaume ilikuwa kwa foleni. Kuna mama alikuwa na visamaki kumi havikutosha kitu abiria wrote waliondoka na njaa zao. Chonde chonde...
Nyongeza yoyote ya mishahara iende sambamba na maboresho ya pension vinginevyo wastaafu watazidi kuumia. Kutopanda kwa mishahara miaka hii 5 kumewasaidia sana wastaafu wetu. I stand to be guided!!
Hapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.