Search results

  1. W

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    CHADEMA Inteligence Unit Kazi kwenu magamba yanayohamia nawashauri msiwape nafasi za uongozi wakae kwa muda mpaka magamba yatoke kabisa hata vikao vikubwa vya ndani wasiingie mkishajiridhisha ndo wapate nafasi.
  2. W

    Mtazamo wangu kuhusu Pro Baregu

    Wana JF mi nafkiri na hilo liwe wazi kwenye katiba mtu akiapa au kuapishwa atatumia Bible, Quran au Katiba kama kuna issue nyingine iwe wazi isije ikawa jamaa ni ........ there are minor things but Senstive tusiaminiane saana hasa kwenye mambo ya Imani.
  3. W

    Nyakati: Barua ya Wazi kwa Rais wa Tanzania

    Maana ya kuwa na hofu ya mungu the fear of God i s the begining of wisdom ukiwa na hofu ya Mungu unakua na hekima maana anakupa nguvu na hekima ya kuongoza tumwombee maana mambo yako tight tuache porojo kumpiga madongo haisaidii ila anapochemka tumwambie ukweli Baba JK Miaka 4 bado unaweza...
  4. W

    UHAKIKI WA VIONGOZI....JAJI (MSTAAFU) SALOME kAGANDA AMENIKERA KWELI!!!!

    Kaka jiulize post hiyo aliomba au kateuliwa ? Kama kateuliwa lazima aangalie asiharibu maelekezo ya aliyemteua we need people who are commited hata kama wameteuliwa waweze kusimama kwa msimamo yao watu ni waoga kutenda haki na kuonyesha misimamo yao, Fear of God(Hofu ya Mungu) ndio...
  5. W

    Rose Chitala nakufagilia ila hapa ulichemka sana!

    Wana JF Hayo yalikua mawazo yake lakini to be sincere heri hata mke kipofu kuliko mke mzuri wa sura asiye na heshima ukitaka kufanya utafiti uliza waliooa sura watakuambia,sio vibaya kuoa wazuri ila ukweli ndo huo.
Back
Top Bottom