Search results

  1. Freeland

    Wanajamiiforums mko wapi?

    JF ya siku hizi changamoto kidogo...
  2. Freeland

    Wanajamiiforums mko wapi?

    rubii miss chagga Valentina binamu viola41 Diva Beyonce
  3. Freeland

    Freeman Mbowe aungwe mkono uchaguzi ndani CHADEMA

    Chadema imeshakufa
  4. Freeland

    Mo Ibrahim: Tanzania nchi ya ajabu kupinga uzazi wa mpango, wakati nchi inategemea misaada kujiendesha kwa zaidi ya 30% ya bajeti yake

    Hayo maneno "nchi ya ajabu" yamesemwa wapi? Hata kama hamuipendi serikali sio kigezo cha kuiandika nchi yetu hovyo
  5. Freeland

    Tuungane kuupinga uonevu wa AzamTv App katika masuala ya kuonesha mechi za soka.

    Azam hii ni fursa...wekeni utaratibu wa kulipia App
  6. Freeland

    Tundu Lissu anayo fursa ya kuliomba Taifa msamaha!

    Hivi Tundu lissu ni mgonjwa?? Anaumwa ugonjwa gani?
  7. Freeland

    Mfanyabiashara, raia wa Kenya anayeishi nchini, Raphael Ongangi apatikana akiwa Mombasa nchini Kenya

    Fishy..Zito and co..plus membe na kila mmoja wenu.Acheni ujinga huu Nguruvi3 Ndahani
  8. Freeland

    Spika mstaafu Pius Msekwa aungana na Ndugai, Kuhusu Lissu kuvuliwa ubunge

    Nashangaa lissu kufanya kosa la kipuuzi kama hili
  9. Freeland

    Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

    ukifuatlia series ya maisha ya huyo dogo wenu......kuna uwezekano wa yeye kuwa mwongo zaidi ya zari
  10. Freeland

    Hatima ya upinzani na Kibonzo cha Masoud Kipanya

    na kuna watu mnafurahia hali hii
  11. Freeland

    Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba

    ha haha, ...huu uzi lazima paskali alikuwa anapiga john mtembezi. ....@mzee mwanakijiji
  12. Freeland

    Mubashara: Mwenyekiti wa CHADEMA MHE: Freeman Mbowe akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya ya CHADEMA

    chadema imeshakufa.....na nakuhakikishia hakuna mtu atahangaika nacho kwa sasa......sasa hivi act ndio inapaswa kupandishwa chat
  13. Freeland

    Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

    CHADEMA you need rebranding
  14. Freeland

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    oooh. ....kwahio Kenya wanakodi ndege ili wakaoneshe? alafu
  15. Freeland

    Dawa za kutuliza maumivu malali ziko mbioni kuisha nchini

    ummy ameiweza sana hii wizara
  16. Freeland

    Polisi yavamia Mkutano wa ndani wa ACT-Wazalendo! Wazuia Mkutano uliokuwa ukiendelea katika Ofisi za Makao makuu ya chama hicho

    afadhali mmeanza kuelewa. ...life span ya opposition parties ni 20 years
  17. Freeland

    Dah ACT inaenda kuwa Chama kikubwa cha upinzani Tanzania, ghafla bin paaaap...!!

    ACT sio chama cha upinzani. ..na hakijawahi kuwa mnamfahamu zitto nyie? hivi kila mwaka wa uchaguzi seif alikuwa anawatapeli wazanzibar. ...hamkumjua ni nani ? mbowe alikuwa mpinzani....but down the road he was compromised mpinzani wa kweli nchi hii ni lissu. ..hecho. ..sugu. ..halima...
Back
Top Bottom