Search results

  1. mbogoshi ya boganga

    Ujumbe Kwa CloudsFM na Gerald Hando

    Wapendwa wana JF, ningependa sana nianze kwa kuwapongeza kwakuwa na michango yenu mizuri na upeo mzuri katika kuchanganua mambo. Clouds Fm especially kipindi cha Pb na Jahazi vimeanzakutoka nje ya mipaka yao na wamekosa has mwelekeo wao nini,Maana siku hiziwamekuwa watu wa majungu na matangazo...
  2. mbogoshi ya boganga

    Mtanzania Jiulize maswali haya kabla hujaongea UDINI

    Wapendwa Ndugu zangu Watanzania,Naomba tuangalie kwa umakinisana swala la udini, hili swala liliibuka baada ya uchaguzi na wakati wauchaguzi uliokwisha,Na mbaya zaidi. Viongozi wakubwa wa nchi waliliongea mbeleya umma,haya yanayotokea sasa ni madogo kuna makubwa zaidi kuhusu udiniyatakuja. Ewe...
  3. mbogoshi ya boganga

    kutukanwa itukanwe CCM tu na siyo CHADEMA kwanini?

    NCHI haijengwi kwa kutukana matusi kama yale tena mbele ya watoto wadogo ambao walikuja na wazazi wao,Na alikuwa anajigamba hapa matusi ndipo yalipo KUDADEKI,KAMA UNATETEA HILI NADHANI NA WEWE UNAMATATIZO YA AKILI KAPIMWE.NINA AAMINI MUNGU AMEANZA KUJIBU MAOMBI YA WATANZANIA KWA KUWAONYESHA...
  4. mbogoshi ya boganga

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Nguvu ya Umma Haina wakili,Lusinde matusi hayampi mtu kula,Hizo mimba ulizotukana wazazi wetu na hata mzazi wako pia, we ndio umejifungua sasa.VIVA CHADEMA, It is just the begining much more will come 2015
  5. mbogoshi ya boganga

    Chadema, CCM yametimia

    tuwekeeni dislike jamani
  6. mbogoshi ya boganga

    Sumu ya ubaguzi wa udini ni mbaya kuliko tunavyoifikiria

    Wapendwa watanzania wenzangu,imefika sasa tuseme basi kuhusu kuendekeza mijadala ya udini,maana hapo zamani tulikuwa hatuwezi kuongea maswala ya ubaguzi wa udini hata mbele ya watoto zetu,lakini sasa hivi hili neon udini kila kitu kinapongelewa chenye maslahi ya jamii au kila kosa linalotokea...
  7. mbogoshi ya boganga

    Ongezeko la 100% kivuko cha k'mboni mapato kwa siku yashuka!!!

    Alikulupuka,sas kila siku Panton mambovu,na hata likiwaka linatumia ingine mbili tu badala ya nne kama zamani?na leo panton dogo mpka saa moja kamili asubuhi lilikuwa halifanyi kazi kabisa sijui kama limefanya kazi baadae baada ya mi kuwa nimevuka,MAGUFULI ALIKULUPUKA ahadi yake ya kuwa gharama...
  8. mbogoshi ya boganga

    Ongezeko la 100% kivuko cha k'mboni mapato kwa siku yashuka!!!

    Alikulupuka,sas kila siku Panton mambovu,na hata likiwaka linatumia ingine mbili tu badala ya nne kama zamani?na leo panton dogo mpka saa moja kamili asubuhi lilikuwa halifanyi kazi kabisa sijui kama limefanya kazi baadae baada ya mi kuwa nimevuka,MAGUFULI ALIKULUPUKA ahadi yake ya kuwa gharama...
  9. mbogoshi ya boganga

    Samwel Sitta asisitiza: Dkt. Mwakyembe kalishwa sumu, asema kuna polisi majambazi

    hiyo dhambi ya kupaeana sumu haitaishia hapo.
  10. mbogoshi ya boganga

    Wizara ya Afya yamruka Manumba, wahoji alikoipata ripoti ya Mwakyembe!

    hakuna jeshi la polisi TZ,kuna kikundi cha watu kinachoongozwa na watu fulani ndani ya Cham fulani.Kama kweli jeshi hilo lingekuwa linajua nini maana ya haki zao siku zote wangewalinda wanamapinduzi.FISADI AKISHAPATA ANACHOKIPATA SI RAFIKI YAKO TENA.
  11. mbogoshi ya boganga

    Lowassa na Kiingereza chake!

    am so ploud kumuona msukuma anaongea kimasai,au mchaga anaongea kikerewe kuliko kumuona mtu anaongea kiingereza vizuri.tuache kutawaliwa kimawazo.
  12. mbogoshi ya boganga

    Kikwete mnyongeni lakini haki yake mpeni!

    napigana na hoja yako kwa upande wa demokrasia,ni vizuri uwe na uhuru wakuongea na unavyoviongea havifanyiwi kazi? je kipi bora kuwa na demokrasia ya kuongea na kukosoa afu watu wako wanakufa njaa kwa umaskini,uchumi wa nchi yako uko down?NOTE: ni bora uwe Dictator lakini maendeleo ni makubwa na...
  13. mbogoshi ya boganga

    CHADEMA yawapa raha watanzania: Taifa Lazizima

    huo ni ukweli usiokaribisha mabishano
  14. mbogoshi ya boganga

    KIKWETE huyooooooo FINLAND

    Camerun atakubali kutoa msaada iwapo Ushoga ukubalike Tz.kazi tunayo
  15. mbogoshi ya boganga

    Hongera Zitto

    huwezi kumlinganisha Zitto na hao waandishi wa habari walikosa dira,
  16. mbogoshi ya boganga

    Naomba Mnipe ushauri kuhusu huyu mke wangu

    wapendwa wana jamii naomba msaada wenu mi nilioa tangu mwaka 2007,nina watoto wawili na mke wangu, wakati na funga naye ndoa aliniambia yule x-boyfriend wake aliekuwa naye alikwenda UK kusoma na hana mawasiliano naye tena na ameamua aanze maisha na mimi upya. siku mmoja ilikuwa tarhe 24 december...
  17. mbogoshi ya boganga

    Mwakyembe ndani ya kanisa la Gwajima; ashukuru kwa maombi akiri kulishwa sumu!

    Mungu nikimbilio letu sote na kila tunapopata tatizo ambalo ufumbuzi wake ni mgumu basi Mungu ndio hubaki pekee anayeweza kulitatua tatizo lolote lile,tunashukuru mheshimiwa kwa kukumbuka hilo na kukiri. Hili swala la kutumia sehemu za kuabudu kwa ajili ya siasa tunaelekea kubaya sana,naomba...
  18. mbogoshi ya boganga

    SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

    mmm khali ya hatari hii jamani
  19. mbogoshi ya boganga

    Kinana: Wanaotaka urais 2015 wamvuruga Kikwete

    ya magamba mwachie magamba
  20. mbogoshi ya boganga

    Nape haifahamu katiba ya CCM?

    ''nina abudu sehemu fulani kwasababu niliwakuta wazazi wangu wana abudu hapo,lakini ningeweza kupewa nafasi ya kuchagua pa kuabudu ningechagua pale napopataka na kupaelewa mimi'' . tusimlaumu sana mi nafikiri tatizo ni hilo
Back
Top Bottom