Search results

  1. T

    mkaa! mkaa! mkaa!

    mkaa mzuri unapatikana gongo la mboto kwa bei cheeee. kiroba cha kilo 25 kwa tshs. 12,000 tu na kiroba cha kilo 100 kwa tshs.35,000 tu BILA USAFIRI. UNAJITEGEMEA USAFIRI. Namba ya simu0717039283
  2. T

    Agriculture officer ii

    Aliyetayari kubadilisha kituo cha kazi kutoka sehem zifwatazo: PWANI,KIBAHA,BAGAMOYO,WILAYA YA TEMEKE kwenda halmashauri ya CHATO, ani pm.SPECIFICALLY AGRICULTURE OFFICER II (afisa kilimo II) ndiye anayehitajika hapa.
  3. T

    wanojua kuhusu hili tujuze tafadhali

    mtu akiwa na degrii 2, nafasi zikatoka serikalini zenye sifa zake ila wanahitaji mwenye degrii moja. huyo mtu akaamua kuomba hiyo nafasi kwa kutumia digrii ya kwanza akafanikiwa kupata hiyo nafasi: 1)je anaporipoti kazini anapokuwa anajaza personal particulars na academic background...
  4. T

    Endometritis inasababishwa na nini?

    Mke wangu alichunguzwa akaambiwa ana Endometritis akapewa sylate tabs 1x1 kwa siku 5 na cifran CT 1x2 kwa siku kumi ila tatizo halijaisha. Mke wangu alikuwa akiona damu siku 3 ya 4 anakauka ila sasa anaona damu zaidi ya siku 7 kuna namna ya kumsaidia mzunguko wake urudikama ilivyokuwa awali...
  5. T

    vidonda mji wa uzazi

    mke wangu alijifungua mtoto mkubwa 5.5kg bahati mbaya, toka december 2011, anasema kuna mabadiliko asiyoelewa kama: 1)akikaribia kupata hedhi joto linapanda sana na anajisikia kama anaumwa akipima malaria hana 2)masaa machache kabla ya hedhi anajisikia kama kuna kitu kinajizungusha chini ya...
  6. T

    msaada wanajf

    mimi ni mwajiriwa mpya idara ya kilimo wilaya ya chato. NINA MASWALI: 1) fedha ya kujikim kwa graduate ni ngapi na kwa sku ngapi. 2) ni kilometa ngapi toka mbozi -mbeya hadi chato- geita. 3) ni tani ngapi za mizigo zinagharamiwa na ni shilingi ngapi? Tafadhali mwenye informations za uhakika...
  7. T

    wizara ya kilimo

    naomba mnijuze wanajamiiforum, research officer ll, agro-officer ll na wakufunzi walishaitwa kwa usaili wizara ya kilimo? Nawasilisha nipo bush magazeti hayapatikani kiurahisi.
  8. T

    wizara ya kilimo

    majina ya waliopata ajira: research officer ll na agro-officer ll yalishatoka? kama bado aliyekuwa na information atujuze pls.
  9. T

    intellectual property rights law tutor.

    GPA ya degree ya kwanza ni 3.6
  10. T

    intellectual property rights law tutor.

    nina masters in intellectual property rights law. kwa yeyote mwenye informations kuhusu chuo kinachohitaji tutor wa intellectual property rights law anitaarifu.
  11. T

    bila kipato tabuuuu!

    Asante sana kwa ushauri wako mkuu.
  12. T

    msaada wangu

    hapana KANCHI sio mimi ninayetafuta. kama unataka kumsaidia fanya hivyo mkuu.
  13. T

    bila kipato tabuuuu!

    sina capital mkuu, huwezi kupata mkopo popote kwa kuwaonyesha vyeti ili kuwezeshwa kununua\kukodi hilo shamba kisha kutafuta input na kuanza production. NI RAHISI KUSEMA ndugu!
  14. T

    bila kipato tabuuuu!

    good idea! ila huko geita lazima uwe na nauli, sehem ya kufikia nk. nimezaliwa na kulelewa dar inakuwa ngumu kwenda na kuishi mkoa mwingine bila pesa kidogo mkononi hata kama nina utalaam.
  15. T

    bila kipato tabuuuu!

    nina bsc. agriculture general (SUA 2006) na masters in intellectual property (Africa University,zimbabwe 2010) nimeomba kazi wizara ya kilimo na kwingine kila nafasi zikitoka sijabahatika kupata. wakuu yeyote anayeweza kunisaidia angalau nami nipate kipato ikiwezekana baada ya mda nami nijiari...
Back
Top Bottom