Search results

  1. M

    Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

    Wote tumeumbwa kwa sura na mfano wake Mungu. Hakuna ambaye ni mbaya. Hivi tulivyo ndivyo ilivyompendeza Mungu tuwe. Kukosoa kazi ya Muumba wetu ni dhambi. Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Kuchepuka raha

    Mauti Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
  3. M

    Kuchepuka raha

    Unatakiwa kufanyiwa maombi wewe pamoja na mumeo. Pepo la mauti linawawinda.Mungu akusamehe kwani hujui ulitendalo. Starehe ya muda inaweza kuwaletea maana wote wawili. Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app
  4. M

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Nimesikia mmeshusha gharama ya vifurushi vyenu hadi 12,000/= habari hii ina ukweli wowote?
  5. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Mbona hamuwaonei huruma vibaka mnawachoma moto hata wale walioiba kuku tu. Au suti walizovaa ndiyo zinazowafanya waonekane bora zaidi kuliko vibaka. Hao hawastahili staha, Mh Waziri Mkuu Big-Up Mungu atakulinda endeleza Mapambano wametutesa sana hao.
  6. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    waambie hao Mwalimu Nyerere aliyeamulu wapigwe mboka 24 kwani alikuwa hajui kuwepo kwa haki za binadamu? watu wanafilisi uchumi wa Nchi halafu mnataka waonewe huruma badala ya kuonea huruma wagonjwa waliopo mahospitalini wanaopata shida kutokana na vitendo vya ufisadi vya wachache.
  7. M

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Wenyewe siyo wastaarabu kwa uzembe, wizi na Ufisadi wa mali za umma ambazo zi zetu sote wewe na mimi. Sasa unataka wafanyiwe ustaarabu gani zaidi ya kuwaumbua ili wajirekebishe na kutoa somo kwa wengine wenye tabia kama za kwao.
  8. M

    Zitto: IPTL Wamelipwa Bilion 8 toka Magufuli awe Rais

    Rais huyu ni makini hakurupuki anawajua wote wenye majibu. Subirini mkamuliwe kama mnayo!
  9. M

    Kufutwa sherehe za Uhuru kumeongoza matumizi ya fedha za umma

    Acha kurudisha nyuma juhudi za Rais kutuletea maendeleo. Kama kuna matumizi ya hovyo ya fedha za vifaa vya usafi toa taarifa katika Taasisi zinazoshughulikia mambo hayo.
  10. M

    Bado Magufuli anahangaika na visamaki, Manyangumi yanalala kwa raha kabisa

    Hakika huyu si walewale. Huyu ni tofauti. Anajua wapi majipu yalipo na anaoutaalamu wa kuyatumbua. Ameomba jambo moja tu kwetu watanzania ili aweze kukamilisha kazi hii salama. Anaomba tumuombee ulinzi wa MUNGU. Natekeleza ombi lake nawe ufanye hivyo kwa faida ya Nchi yetu. MUNGU ibariki...
  11. M

    Lowassa katika kashfa nyingine

    Sema kura yako ni si zetu. Zetu na nani ikiwa kila mtu anakura yake.
  12. M

    Dalili mbaya za kushindwa kwa ukawa/chadema

    Ambamba neno upumbavu huwa linakuwa tusi likitamkwa na nani?
  13. M

    Aise!

    Nchi nyingine si TZ!
  14. M

    Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Nyie vipi! huyu pamoja na kuwa ni Rais wa Nchi pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa. Sasa kwanini asipigie debe chama chake? Kimshingi hili alishajibu kuwa chelekocheleko na mwenye mwana na yeye ndiye mwenye mwana wa mgombea wa CCM. Temeni kama vidonge alivyowapa vya uchungu.
  15. M

    ITV mbona mnafanya upendeleo kwa CCM?

    TEhe tehe kama hamna jipya wanendelee kuweka habari zisizokuwa na mvuto kwa watazamaji!
  16. M

    Tahadhari: Neno ILANI linawaudhi sana watanzania

    Kupanga ni kuchagua. Hatuwezi kutekeleza yote ila tunaweka vipaumbele vya maendeleo yetu. Vipaumbele vinawekwa katika ilani kama chama chako hakina ilani hakifai na ni cha kukiogopa kama ukoma.
  17. M

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Halafu aliwaambia kila bidhaa ya china mbaya nani? tuache masihala na siasa katika masuala muhimu yanayotugusa wote
  18. M

    Rais ajaye awe na sifa zifuatazo

    Si lazima apate kura yako. Ila wengine tutampigia kwa sifa alizonazo tunazozifahamu. Nina uhakika baada ya kampeni hata wewe utamkubali na utampigia kura kama una nia njema na Nchi yako
  19. M

    Ni lini Magufuli ataacha kumsifia Kikwete?

    Wewe ulikuwa unahitaji aseme nini zaidi wakati ilani ndiyo imetoka Jana na kampeni zinaanza tarehe 22/08/2015?
Back
Top Bottom