Search results

  1. B

    Please Msifungue hii Thread kuna vitu vyangu vya siri nimeandika

    Bora yangu nimefungua lakini sijakujua
  2. B

    Hii kali

    Nisubiri nikaazime mbavu za kuchekea
  3. B

    Kama hujaoa au kuolewa embu click hapa kuna jambo linakuhusu; very urgent!!!!

    Kama hujawahi sex nje acha kabisa mpaka upate wako wa ndoa. Ukizoea nje utakuja kutoka tu. Kijana acha kuchezea maisha
  4. B

    naomba ushauri wenu

    Ndugu yangu hayo ni yakawaida cha msingi kua na msimamo mmoja. Kisha tafuta unaempenda nae akupende asiekupenda achana nae. Ukishaoa utulie na mke wako. Huo ndio ushauri wangu
  5. B

    Ushauri wa msingi kwa waliooa tu

    Jamani wanaume mjitahidi muwe mnawafikisha kileleni wake zenu hata kama ni kimoja atarizika tu
  6. B

    Msaada wa lugha

    Kama elimu yako sio ya mchina, badili sentensi hii kwa kingereza. BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI? Nipe jibu nicheke kabla cjalala!
  7. B

    Mbongo Ulaya

    Kwa mbongo hiyo ni kawaida. Huyo mzungu angempa mifupa ya samaki
  8. B

    Msaada wa majibu

    Kama elimu yako sio ya mchina, badili sentensi hii kwa kingereza. BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI? Nipe jibu nicheke kabla cjalala!
  9. B

    Fikiria we ndo mtangazaji kati ya mechi ya mkoa Mbeya na Kagera

    Jamani! jamani MUNGU hana utani,hana mazoea, wala hana mzaha. Tuwe tunafikiri kabla ya kuonge. Mathayo 12-36
  10. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Niagieni! Niagieni! Ni sauti iliyosikika kwa mgonjwa wa H I V wakati anakata roho akikumbuka aliemwambukiza bado anakula maini
  11. B

    Naomba majibu......!

    Kama elimu yako sio ya mchina, badili sentensi hii kwa kingereza. BABA MIMI NI MTOTO WAKO WA NGAPI? Nipe jibu nicheke kabla cjalala!
  12. B

    Mshindi wa BSS Pascal Cassian AMEFULIA MBAYA

    Jamani watanzania tufanye kazi kwa malengo hilo ndilo la msingi. Msipendelee starehe kuliko kazi
  13. B

    Ku "Do" huwapunguzia wanaume miaka ya kuishi..... punguzeni! -UTAFITI

    Je ni do mara ngapi ili niishi miaka mingi?
  14. B

    je unene ni afya au ugonjwa

    MSAADA JAMANI: Nina imani watu tunapendana na lengo la kuishi ni kwamba mwisho wa siku tufike mbinguni. MADA: Nina mchumba ambae tumedumu kwa mda mrefu na tumeazimia kuoana. Yeye ni roma mimi msabato yeye hataki kubadili dini. Je mimi nifanye nini?
  15. B

    Madhala ya kutofanya mapenzi kwa mda mrefu.?

    Je?wewe uliesema hayo madhara ni doctar? Na una uzoefu gani? Na udhibitishe...!
  16. B

    Madhala ya kutofanya mapenzi kwa mda mrefu.?

    Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do kama hayapo je kuna faida? Ni zip? NAWASILISHA
  17. B

    Wenyewe

    Me mgeni jmn hod humu ndani..!?
Back
Top Bottom