Search results

  1. Mwakiluma

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Ukweli ni kwamba sio kuwa eti haya mabasi yanaenda kwa speed kubwa ila yanaenda bila kupoteza muda, hapo ndipo neno haraka linakuja. Kwa wastani mabasi haya yanatembea kwa speed kati Ya 25 km/h likikaribia kituoni na 50 km/h likiwa katikati Ya kituo na kituo. Pia basi litakalo toka kimara ndilo...
  2. Mwakiluma

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Jamani mimi kila niki click kwenye live tv naambiwa no connection...msaada plz
  3. Mwakiluma

    Mwenyekiti wa bunge amtaka Murtaza Mangungo kwenda kubadilisha mavazi aliyovaa

    sahihisho...sio naibu spika ndugai bali ni mwenyekiti
  4. Mwakiluma

    Tuhuma nzito kwa Abbas Mtemvu mbunge wa Temeke-CCM

    kwani mashindano ya bibi bomba hayapo mwaka huu...si angeenda kule maana yeue anataka umarufu hata kuwa bibi bomba ni maarufu pia.
  5. Mwakiluma

    Kigogo wa RITA aliyetoa cheti cha kuzaliwa cha Sitti Mtemvu matatani

    kama zakhia meghji amesema yeye ni mzanzibari na bunge zima limeiyikia ndiooooo unafikiri kuna lisilowezekana bongo. Mi sishangai binti huyo kuanza shule ya msingi akiwa tumboni mwa mama yake.
  6. Mwakiluma

    Dr Slaa kufikishwa Mahakamani!

    kwa akili yako wewe uliyepost makala hii kweli nchi yetu inasafari ndefu katika kuelimisha watu wake. Halafu ukifeli utailaumu serikali kweli.
  7. Mwakiluma

    Mwalimu Nyerere na Mfumo wa "KISHETANI".

    Nyerere alikuwa mtu tofauti, huwezi kumfananisha na marastafari.
  8. Mwakiluma

    Mwalimu Nyerere na Mfumo wa "KISHETANI".

    Nyerere katika hotuba yake aliuelezea mfumo wa kuficha Mali nje ya nchi kama mfumo wa KISHETANI. Katika hotuba yake alisema...namnukuu "Mfumo gani huu mfumo wa kishetani, unatoa mali kwa maskini unapeleka kwa matajili. Tunao waswahili ambao jambo la kijinga likitamkwa kwa kizungu linaonekana...
  9. Mwakiluma

    Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

    Kinanaaaaaaaaaaaaaaaaa.... Weka mbali na tembo.
  10. Mwakiluma

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Amlipaye zomaye ndiye achaguaye wimbo. Kwa malipo haya ni dhahili sasa kwamba ccm wanachagua wimbo ambao tume inaicheza. Ni katiba ya ccm siyo ya tanzania
  11. Mwakiluma

    Lema: Ushahidi wangu kwamba Rais Kikwete ni KINARA wa UDINI umekamilika

    Tayari umeshaingiziwa M pesa elfu 30 kutoka kwa Mwigulu Nchemba kwa kazi yako ya kuiponda Chadema, Endelea kuuza utu wako kwa hizo elfu 30 za akina Mugulu chembachemba
  12. Mwakiluma

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Tuache utani jamani, hii hela ni kichaka kingine cha ulaji. Kama ule wa shillingi billioni moja kwa ajili ya mazishi ya viongozi.
  13. Mwakiluma

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Mi nadhani huenda tayari kuna wajumbe wenye ukimwi. Basi wawataje.
  14. Mwakiluma

    Sh. 18 Mil. zatengwa Kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakopata UKIMWI

    Wizara ya katiba na sheria imetenga kiasi cha sillingi millioni 18 kwa ajili ya kugharamia wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba watakaopata ukimwi. Msemaji wa kambi ya upinzani bungeni ameitaka serikali ieleze ni kwa namna hani fedha hizi zitatumika au ieleze ni kivipi wajumbe wa tume ya...
  15. Mwakiluma

    Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

    Heshima kwake Mdee. Nimetangaza kuanzia leo nitakuwa namwamkia Mdee, nimemuangalia kwa Makini leo. Ameongea maneno ambayo kwa ccm itawachukia miaka 50 kuyapata kwao.
  16. Mwakiluma

    Kati ya CHADEMA, CCM na BUnge, nani ameingilia uhuru wa Mahakama?

    Bi kiroboto kasema siku ile alikuwa bleed hivyo asingeweza kuinuka inuka ili kuzuia mjadala ule. So bunge ndio liliingilia uhuru wa mahakama
  17. Mwakiluma

    Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

    Wewe mwenyewe K*M*....kama hao wenzio akina madam na mwenzake.
  18. Mwakiluma

    CHADEMA: Tutafanya Maandamano Makubwa ya Mapokezi ya Wabunge wetu

    Andika "MAKINDA MTONGOZE MWIGULU" siasa huwezi
Back
Top Bottom