Search results

  1. BUNDI WA MJINI

    The tembo bull fight at Mikumi

    hii ilikuwa kali hata hii ilitoa funzo Rabbit VS snake
  2. BUNDI WA MJINI

    Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

    embu weka hio link vyema-au sema ni wapi tufungue tuone hio mambo-maana neno tembelea ni general sana
  3. BUNDI WA MJINI

    Nisaidieni huyu mwanamke ananisumbua!

    kama una nauli ya kurud-sepa-achana naye
  4. BUNDI WA MJINI

    British say no to racism (ni domo si vitendo)

    serkali ya tz haihitaji sehem maalum maana hawana ndege inayoruka,na hizo zilizopaki nyingne zipo kigoma na mwanza,zimekuwa grounded kwa sababu za kifundi-kwa zile zilizoanguka naamini bado zpo eneo la ajali hadi leo
  5. BUNDI WA MJINI

    British say no to racism (ni domo si vitendo)

    nazani mtoa mada hajajua maana ya neno racism, naamin ndege hazihusiki kwenye swala la racism
  6. BUNDI WA MJINI

    Sauda Mwilima kimeeleweka

    hongera yake-si wasichana wote wanabahatika kuolewa
  7. BUNDI WA MJINI

    Wachaga wakeketaji mahiri!

    kuna watu hawajiskiii vizur bila kuwataja wachaga...
  8. BUNDI WA MJINI

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    hapo nilopo bold nazani unashidwa kujua kuwa mambo ya uasherati na uhuni mwingine ni swala la tabia ya mtu,ni watu wangapi maofisi wanalana mizigo?ni viongozi wangap wapo na kazi nyinmgine na wengine kaz hawana lakiniu bado ni wahuni wa kutupwa? Pili,magazeti ya udaku hayasomwi na watu...
  9. BUNDI WA MJINI

    Mpaka Julai kila msanii awe na TIN Namba - Zitto Kabwe

    hujui unakosea unaposema TIN NAMBA?
  10. BUNDI WA MJINI

    rwanda wapitisha sheria ya utoaji mimba

    bora haoi wameamua hivyo kwani hapa kwetu haijapitisha lakini mtaani mwenye kutaka kutoa anatoa bila tatizo lolote
  11. BUNDI WA MJINI

    Ndege ya Air Tanzania yapata ajali ikiwa na abiria 35 Kigoma, hakuna vifo

    afadhali hakuna raia alipoteza maisha nazani taifa sasa halina ndege kabsa-swala la ndege wamewaachia wakenya wadominate east africa na kwingineko- viongozi wetu walivyo vipofu sijui lini wataleta ndege mpya
  12. BUNDI WA MJINI

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    sijui viongozi wa ccm watumia akili gan kufikiria,sijaona umuhimu wa kuwajaza wazenji kwenye swala la katiba kabsa-yaani kifupi jionsi walivyochangua tu wameshaniboa
  13. BUNDI WA MJINI

    Lulu: Sina bwana mchumba wala boyfriend

    Alipokuwa anasema hana mchumba wala boyfriend nazan alikuwa anazuga ukweli ndo huu tunaousikia sasa
  14. BUNDI WA MJINI

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    "women who kill" kama lulu atakutwa na hatia atakuwa kaingi kwenye hio group ya women who kill rip kanumba
  15. BUNDI WA MJINI

    mwenzenu nimefiwa

    poleni sana
  16. BUNDI WA MJINI

    Hanipi denda

    harufu ya mdomo wako inaweza kuwa ni tatizo
  17. BUNDI WA MJINI

    Vitoto vya kibongo kumbe vitamu

    Kwan wa kisomal wakoje?
Back
Top Bottom