Search results

  1. N

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    kweli anastahili pongezi,sasa hofu yangu ni je atapinga hoja dhaifu kwa nchi zinazoletwa na serikali ya chama tawala,au ataishia kuunga hoja mkono kwa asilimia mia moja?
  2. N

    Ningekuwa Mh. Mbowe; Kipande cha Hotuba yangu ya Leo Kingekuwa Hivi……

    iko poa sana,lakn kwa nimjuavyo kamanda mbowe atakuja na kali zaidi ya hii,kifupi chadema ni party ya vision tz
  3. N

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    pongezi sana kwa makamanda wote,kwani tunajua na kutambua juhudi zao kwa kazi kubwa iliyo fanywa na hawa watu.
  4. N

    Werema, aibu tupu

    Habari za jioni Wanajamiiforum? Nimekuwa nikifuatilia session ya jioni ya Bunge,kubwa likiwa ni mjadala wa mabadiliko ya sheria mbalimbali.Mchangiaji wa kwanza, baada ya hotuba ya kambi rasmi ya upinzani,alitoa hoja ya kuahirishwa kwa mjadala,kutokana na mapungufu mengi,lakini kubwa ni pale A.G...
  5. N

    Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

    pongezi kubwa anastahili kwa kufanya maamzi sahihi.
Back
Top Bottom