Search results

  1. G

    Watangazaji wengi wakibongo ni Dhaifu kwenye Jiografia

    HUYO NI KIAZI KABISA LAKINI USISEME WATANGAZAJI WENGI...SEMA HUYO HUYO KILAZA
  2. G

    Anza na Sielewi kwanini...

    Sielewi kwanini Ngono ni tamu sana
  3. G

    TCRA angalieni hivi vituo vya redio

    TATIZO HAKUNA UWEKEZAJI KWENYE MEDIA, KUANZIA TBCC....hadi wengine
  4. G

    Hivi Redio za Tanzania na TV zina msaada?

    Nimekuwa Nikifuatilia sana Media hasa redio na Televisheni hasa mijadala yake na namna wanavyowasaidia wananchi na watu wengine walioamua kuwasaidia. Natafakari sana ni chombo gani kwa sasa kinafanya critical analysis kuhusu masuala yanayoendelea. Hata Hizi Redia kubwa kama Radio Free Afrika na...
  5. G

    Ni kipindi gani bora cha Radio kuanzia 11 hadi saa 1 asubuhi?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa vipindi vya redio kila napoamka Majira ya SAA 11 kwenda kazini nimejaribu kusikiliza RFA, Clouds na Radio One nadhani RFA kidogo wanajitahidi kufanyia mambo fulani ya maana alfajiri ila matangazo yao ya CCM ndio yanakera. Je, wanajamvi ni radio gani inatii kiu ya...
  6. G

    Redio za Tanzania na BBC

    Tatizo wabongo mmezoea kuropoka tu uchumi wa Uingereza ndiyo unaendesha BBC... Watangazaji wa redio hizo wanalipwa vyema kabisa.... Uchumi wa German unaendesha Deutch Welle..... Jiulize uchumi wa Tz unaendesha TBc je kuna nini huko????? Sio sahihi kuchanganya mambo haya..... Kwa upande wa redio...
  7. G

    Mchina ampiga diwani makofi mahakamani mbele ya hakimu

    Hii ni picha ya Tanzania ijayo maana wageni wanahonga uhamiaji na wanalindwa baada ya miaka kama 20 wajukuu na watoto wetu watakuwa wanalambwa makofi hadharani..tuamke ikiwezekana tuchunguze namna wageni wanavyopata kiburi hata cha kujiamlia mambo yao washenzi sana hawa sijui wameiweka serikali...
  8. G

    RFA na Utabiri wa mrithi wa Sheikh Yahya kuhusu CCM

    Katiba imeruhusu maoni ingeruhusu facts basi maoni yangebanwa na watanzania na media zao wanapenda maoni kuliko facts.
  9. G

    Tunahitaji chama kipya?

    Acheni vyama vije achni watu waje lakini upuuzi lazima ukumeshwe Tanzania
  10. G

    Leo hamna cha simu wala ipad ndani ya court -- Zitto anaelekea kushinda

    Who is Zitto Kabwe hadi watu waache kufanya kazi Zitto Zitto Chadema chadema chadema...2015 hakuna chama hapo mtakuja kusema matokeo yake, CDM WANGEKUWA WAUNGWANA WANGEKULA BUYU KAMA WALIVYOFANYA KWA SHIBUDA SHIBUDA SAIVI POTEA KWENYE RAMANI.......
  11. G

    Kutoka Olasiti - Arusha: Mazishi ya Marehemu wahanga wa Mlipuko na yaliyojiri

    Mungu ndiye muweza, Hukumu na Hekima na Amani vyote anavyo yeye .... Aliyeua kwa upanga atakufa kwa Upanga yanasema Maandiko. Mungu awalaze mahala pema peponi Amen. TUSIHUKUMU TUSIJEHUKUMIWA!
  12. G

    Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    Hata wanafiki hupenda kuhudhuria misiba, japo ni ngumu kuwatambua. Jambo la msingi watu makini ni kuchukua maamuzi magumu ambayo wote watakuheshimu, wengi wanamcheze "RAIS WETU MSIKIVU" Sharubu. Eti kwakuwa ni msikivu.
  13. G

    Waziri Mkuu afunguka TBC kuhusu mabomu Arusha

    Nilipita jf na kuona wadau Jf mlivopata hasira kuhusu bunge leo kupigwa kapuni, sasa nampata Pinda Live TBC RADIO anafunguka na mwana wa mkulima kwa nia njema anasema epusha siasa ktk suala la Arusha
  14. G

    Denis Mwasilanga (RFA & star tv) anazidisha ushabiki kwa magazeti ya CCM na serikali

    Kwa wafuatiliaji wazuri wa Magazeti watakuwa wanajua kuwa wasomaji kama Dennis hawana upendleo, tatizo la wana CDM wanapenda kujihami. . .unaposema leo msomaji TZ DAIMA kalisoma michezo inaonyesha ulivo propagandist, hakuwa na hilo gazeti leo, na wala halijasomwa. .jamaa huwa anapitia kwa...
  15. G

    RFA na usomaji wenu wa magazeti leo Jumapili

    Mwanakidagu, Tambua kuwa wasomaji wa magazeti ni professionals......and wanajua wanachokifanya, usilazimishe wasome kile unachotaka wewe, they impact our world...hakuna habari iliyorukwa unless hukusikiliza tangu mwanzo
  16. G

    VP MAGAZEI RFA KILA SIKU? Ndugu wadau tuwachambue wasomaji wetu mnawaonaje?

    Jmani Tuwachambue wasomaji magazeti wa RFA JAMANI Mnawaonaje? kwakuwa kipindi supa cha MAGAZETI NI RFA
Back
Top Bottom