Search results

  1. N

    Uza Laptop hapa

    NAUZA LAPTOP DELL INSPIRON N 5010 Processor: intel(R) Core (TM) i3 CPU @ 2.40 GHz 2.40 GHz Ram: 6 GB System type: 64 bit OS, x64-based processor Storage: 300Gb Plus: charger, healthy battery, mouse Bei maelewano, ni pm Conditions: in good shape and working conditions Physical damage...
  2. N

    Nauza DELL INSPIRON N5010 used

    Hiyo bei mbona standard brazaaa!!
  3. N

    Nauza DELL INSPIRON N5010 used

    Processor: intel(R) Core (TM) i3 CPU @ 2.40 GHz 2.40 GHz Ram: 6 GB System type: 64 bit OS, x64-based processor Storage: 300Gb Plus: charger, healthy battery, mouse Bei 550000/= tsh Conditions: in good shape and working conditions Physical damage: scratches kidogo Mwenye kuihitaji ani PM...
  4. N

    Windows server 2012

    jaribu kitabu hicho kiko vzr sana
  5. N

    Msaada, laptop imegoma kuwaka

    Vumbi ikizidi sana kwenye laptop husababisha kuzima au kushindwa kuwaka kabisa, jaribu kuifanyia maintance kwa kuifungua na uisafishe kwa brush mashine yote hasa kwenye feni. Wakati mwingine kuzima gafla husabishwa na over heating ya processor kama inashindwa kupozwa na feni au kuisha kwa zinc...
  6. N

    Msaada, laptop imegoma kuwaka

    Vumbi ikizidi sana kwenye laptop husababisha kuzima au kushindwa kuwaka kabisa, jaribu kuifanyia maintance kwa kuifungua na uisafishe kwa brush mashine yote hasa kwenye feni. Wakati mwingine kuzima gafla husabishwa na over heating ya processor kama inashindwa kupozwa na feni au kuisha kwa zinc...
  7. N

    Taarifa za Usajili wa vilabu vya Soka, msimu wa 2015/2016

    Kama we ni mpenzi wa kandanda hususani ligi ya uingereza, spain, italy, portugal nk tujulishane yale yanayojiri kwenye usajiri na nn maoni yako!!
  8. N

    Hisa za NMB kushuka

    Mwenye hisa za NMB anayeuza ani PM!! Nina haja nazo
  9. N

    Idadi kubwa ya waviettnam Tanzania

    Tangia kuanzishwa kwa kampuni hii ya VIETTEL TANZANIA LTD kumekuwa na ongezeko kubwa sana ya raia wa VIETTNAM hapa Tanzania, Je serikali hailioni hili? Je uhamiaji hawalioni hilo? Imekuwa kero kibwa sana kwani hawa watu ni wengi mno na wanafanya uwekezaji duni kwa kuwanyia fursa watanzania...
  10. N

    Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

    Ni pm kama upo serious tufanye biashara
  11. N

    Msaada Wa kupata iOS 7 ya apple ipad

    Go to settings>general>software update!
  12. N

    Laptop haiboot kabisa

    Ni dell laptop n5010 Inspiron, mara ya mwisho nimeiforce kuizima kwa kuhold start button. Baada ya hapo haitaki kuwaka. Msaada bandungu.
  13. N

    Airtel modem e173 haisomi

    Ndugu zangu naombeni msaada kutoka kwa yeyeto mwenye kufamu juu ya hli,modem yangu nikiiplug tu kwenye mashine ina soma na sim inserted or niweka ambayo sio ya airtel. Sasa tatizo hli limeninyima internet wiki 2 sasa, sijui cha kufanya. Mbaya zaidi hata nikiiplug bila sim bado iitaleta ujumbe...
  14. N

    pc imezima ghafla

    hatimaye imewaka,nimetoa battery nikaicha kwa muda afu nikairudisha imewaka. Lakn ilinitisha kuzima ghafla kama umeme wa tanesco
  15. N

    pc imezima ghafla

    haiwaki kabisa. Nilikuwa naangalia picha ikazima tu
  16. N

    pc imezima ghafla

    nifanyeje,pc yangu imezima bila sababu na haitaki kuwaka tena. Nini tatizo?
  17. N

    waziri mkuu ni nani kwa sasa?

    baada ya rais kuteua baraza jipya la mawaziri je waziri mkuu naye atabadilishwa? Maana yeye ndo shina hasa kwa kushindwa kusimamia mawaziri wengine. Naombeni ufafanuzi jamani?
  18. N

    Natafuta girlfriend

    hahahaha
Back
Top Bottom