Mzee warioba alikuwa anafafanuwa vizuri kabisa katiba ata mimi nisiyekuwa najuwa kilichoandika ktk katiba nilianza kutambuwa uwozo wa hiyo katiba pendekezwa. Sasa kumbe hata UKAWA wana haki kutoka bungeni. Huyo Sita si mzalendo anapenda uongozi tu kazi kubebwa bebwa
Sent from my BlackBerry...
Kifo cha Major Mshindo kiwe chachu na kasi ya ukombozi na amani wa mji wa Goma. M23 hawana rorote kwa JWTZ
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Wakuu habari za muda huu tena,
Naombeni msaada wadau,
Nina external ya 1TB nime weka data, ila toka week iliyopita nikifungua data hazionekani, nikicheck ukubwa yani disk space used ni 458 MB, na nikscan virus kwa kaspersky 2012 naona inascan folder hambazo hazionekani. Naomba msaada...
pocket technology, ndiyo wakati wake huu, sasa we tangatanga na nokia yako ya tochi tu, simu inapunguza ata mizigo ya kubeba kama document na weka ktk simu tu
naombeni msaada nina mpenzi pata miaka mitano sasa, ila kila tukiduu napata maumivu makali baada ya kumaliza paka kesho yake nakunywa dawa za maumivu, ila kunastaili akiniweka ndiyo naumwa siku tatu, kifo cha mende sipati tatizo ila hizo stail zake ndizo zinanisababishia maumivu sana na pia...
Printer yangu ni Hp color laser jet 1600, mwanzo ilikuwa inaprint quality nzuri sana, ila toka nimebadili Ink inaprint Black tu color haiprint kabisa nimebadili wino mpya na original imegoma, naombeni msaada nifanyeje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.