kuna mantiki gani hapo?kwani mda huu unamadhara gani na maandalizi ya watahiniwa au inaathiri vipi maendeleo ya elimu hapa nchini? Msaada tafadhali mtoa maada.
Miongoni mwa watu wanaotakiwa kuondoka great thinkers wee ni kwanza. Ni mvivu jufikiria kama cjui nini,in short you dont deserve dat title. You dont read books you cant increase your knowledge,you dont even know even about revolution, kukusaidia tu: wanaharakati wako hivyo, au nao huwajui?
hujui kitu kuhusu legitimacy decline ndio maana unatumia historia bila kuona prevailing condition,be keen look inside the container, do u think diesel and korie are exactly the same?
ninavojua mimi mama sajuki anatumia m.pesa kukusanya mchango wa msaada wa matibabu ya mumewe, na vodacom wanataarifa zote kuhusu ni nani kahamishiwa kias gani lini na alitumia mnara gani, taarifa wanazo vingnevyo wawajibishwe kwa ufisadi wa msaada wa pesa za matbabu. Wasitake kuleta uzembe usio...
jembe yuko poa kwa wenye mcmamo wa kimapinduzi,jamaa hawezi kuficha uchafu hata kidogo.mnaomuona mwongo sio yeye ni mfumo wa serikali ndo unaomkwamisha,ila yeye ni jembe ukilinganisha na pindwa.
jana katika kongamano la kigoda cha mwalimu nyerere lilifanyika ktk ukumbi wa nkurumah uliopo hapa chuo kikuu cha taifa_udsm_kwa masikio yangu mwenyewe nimemckia akiwauliza wajumbe eti naye hajui kwanini nchi hainufaiki na mpango aliouasisi yeye wa kubinafsisha sekta mbalimbali hapa nchn,"swali...
Miongoni mwa misingi ya utawala wa kisheria ni hiyo HAKI YA KUSIKILIZA NA MAHAKAMA NA KUPATA AU KUTOA UTETEZI KWA KILA RAIA,by A.V. Dicey an english jurist.Mdee yuko sahh kabisaaaaa
hivi hakuna kikomo cha kumuwekea mtu pingamizi la ushndi wa ubunge kinachofafanuliwa kisheria? Huku ni kukwamisha shughuli za maendeleo mtu anaweza kufungua kesi hata bada ya miaka 4 kupinga ubunge wa mbunge. This is shameful of the lawyers!
Daa! Sasa nimeelewa kwamba kila mtu aliumbwa na uwezo wake wa kufikiria,Kuna mchangiaji kanifanya niamini hvyo yule alisema kuwa vicent atafunguliwa kesi na magamba eti kwa kusema mkapa alimuua nyerere na vp yeye aliyesema vicent sio mtoto wa baba yake anayemjua vicent na madaraka kukanusha...
Ng'wana unautapiamlo wa mawazo sio bure! Na nina imani kuwa wewe sio mtanzania ndio maana umekurupuka kubadili mapungufu kuwa mafanikio. Lakini labda ngumbalo ndio maana unadumisha mawazo ya mwenyekiti lkn hata kingunge hana fikra hzo cku hizi naye anajitahd kuona mbali kwa upepo wa kisasa. Take...
you are right mkuu but tatizo ni hawa magamba waliolewa madaraka wakickia kidogo tu kuwa waziri kivuli ameshauri kitu utasikia wanataka nchi isitawalike,oo cdm wanawachochea wananchi kuandamana au kugoma ndio yanayokwamisha ushirika wao ktk serikali hii ya magamba.Pia wakubwa wa magamba...
Katika hali isiyo ya kawaida leo wananchi wa wilaya ya kyela wamekutana maeneo ya viwanja vya siasa kyela mjini kujadili hatma ya jimbo lao pamoja na afya ya mbunge wao Dr.H.Mwakyembe, ambaye afya yake bado si shwari.
Wananchi hao wamejadili kuwepo haja ya kufanya safari ya kwenda kumjulia hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.