Search results

  1. J

    Tukio la Kihistoria la kupatwa kwa jua kutokea Tanzania Septemba Mosi

    We are waiting for manufacturer to open an account to transfer money to..
  2. J

    Tukio la Kihistoria la kupatwa kwa jua kutokea Tanzania Septemba Mosi

    Tukio la Kihistoria la kupatwa kwa jua kutokea Tanzania Septemba Mosi. Akitoa taarifa hiyo Mhadhiri wa fizikia na mtaalamu wa Sonomia katika kitivo cha sayansi chuo kikuu huria cha Tanzania Dkt. Noorali Jiwaji amesema kuwa kwa mara ya mwisho tukio kama hilo lilitokea nchini Tanzania mwaka 1977...
  3. J

    Total solar eclipse of Sept 1st 2016

    Contact Dr. Noorali Jivaji for further info
  4. J

    Nini tatizo ya hii simu? Nikiweka WCDMA inagoma,..

    Problem is with network.. not the phone.. dial 100 mpaka upate customer care.. I had same problem with my S5.. hasa kama ulibadilisha chip from another phone.. don't panic.. further info 0784387396
  5. J

    Nini tatizo ya hii simu? Nikiweka WCDMA inagoma,..

    Wapigie wabadilshe parameters..
  6. J

    Home tutor for Achicad

    Sorry. .it's ARCHICAD.. basic tool of architects
  7. J

    Home tutor for Achicad

    Guys..toto wangu ex form4.. looking for a tutor for beginners course for archicad.. any suggestion.. Shud be able kufundisha mtaa wa nkrumah
  8. J

    Necta std 7 exam results for 2011

    Hata School Leaving Certificate anakataa kutoa! Two choices for me, 1) fight with the sword, OR 2) with the pen. Do u guys think I should write a letter to Ilala DEO with copy to Wazari wa Elimu, making a formal complaint? Plz advise
  9. J

    Necta std 7 exam results for 2011

    Hawa watoto wanne, walikuwa "cream of ther class". Na HM anataka waendelee kwenye shule yake ambayo ina stream 1 tu( watoto 16). Shabaan ina stream 5! Bonge ya competetion! Hata school leaving certificate amekataa kutoa!
  10. J

    Necta std 7 exam results for 2011

    Hi guys, I m new here n wish u all Jamaa a Prosperous New Year. What is website to download Necta std7 results for 2011? My daughter's primary headmaster anaona uchungu kutoa matokeo kwa sababu amejiunga na Shabaan R Second, na wenzie wata3
Back
Top Bottom