Search results

  1. LILONGO

    Idd Amin atupa mabomu Kagera.

    Kwa hiyo kuvunja daraja la nchi jirani sio definition ya uvamizi? Na anahofiaje uvamizi wakati ushasema concentration of force ilikuwa kusini, Uganda ipo kaskazini Acha kutetea ujinga wewe
  2. LILONGO

    Kitambulisho cha Vladimir Putin akiwa jasusi wa KGB chapatikana Ujerumani

    Naam kabisa. Jasusi mbobezi. Bila shaka hicho ni kitambulisho chake cha Stasi. Cover nzuri kuficha uhusiano wake na KGB
  3. LILONGO

    Usalama wa Taifa mmeshapandikiza hata Rais mmoja miongoni mwa nchi zinazotuzunguka?

    Ondoa shaka kijana Directorate of External Operations ipo vizuri kuliko unavyodhani
  4. LILONGO

    Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

    Ni Cornel na sio Colonel
  5. LILONGO

    Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

    Acha ujinga wewe. Sio smart unamjua?
  6. LILONGO

    Huyu demu anataka kunifanya mtaji

    Sadly wanawake wa kiafrika ndo walivyo. Njaaa mwanzo mwenga
  7. LILONGO

    Nalia machozi na kuwaangukia tena watanzania wenzangu mnisaidie

    Pole sana kiongozi. Utafanikiwa tu
  8. LILONGO

    Kwa chuki hizi, tunampa kazi ngumu Rais ajaye kuunda tume ya maridhiano!

    We jamaa komaa na kuuza vitabu vyako Maana unaadika pumba tu hapa
  9. LILONGO

    Inawezakana kutumia visa card nje ya nchi?

    Unatumia bila shida
  10. LILONGO

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Ushawapa taarifa Korail au TRC pale Soga?
  11. LILONGO

    Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

    Hakuna Kitengo Usalama. Ni Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa
  12. LILONGO

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Unaongelea station ipi? Moro, Ngerengere, Ruvu, Soga , Pugu au Dar?
  13. LILONGO

    Huyu demu sijamuelewa hata kidogo ,naomba ushauri

    Mwambie aje aichukue ghetto
  14. LILONGO

    Kufungwa maduka ya kubadilisha fedha madhara yaanza kuonekana

    Hiyo alternative approach ni ipi?
Back
Top Bottom