Search results

  1. J

    Natafuta binti wakuchumbia

    Natafuta binti wakuchumbia awe mwaminifu,naitwa Kyaro elimu yangu chuo kikuu,ni mfanyakazi wa serikali
  2. J

    Naomba mnisaidie mitaala ya shule za secondary

    Wane jamii forum naomba mnisaidie kuna mitaala gani ambayo imeshabadilishwa ya somo la hisabati zaidi ya ile ya mwaka 1995 na 2005,maana watu wengi wamekuwa wanapotosha jamii kwa kueleza jamii kwamba mitaala imekuwa inabadilishwa mara kwa mara pia kuna watu ambao wamefanya tafiti hizo na...
  3. J

    Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

    Simnaona wanavyokula fegha za maendeleo halafu wanasema kasungura kadogo cag kawaumbua haooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mwisho wenu 2015 hamna maana kabisa nyinyi,hosptali hazina dawa wanafunzi wanakaa chini,nyinyi mnafanya sherehe za nanenane,miaka hamsini ya uhuru,hao...
  4. J

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Kero kwa waalimu wannao fundisha shule za serikali za Bording school wanalazimika kulala mpaka saa nne usiku huku wakiwa hawalipwi kitu chochote tunaomba waanze kulipwa over time.
  5. J

    Msaada wa swali langu kwa wenzangu wa vyuo vikuu,nisaidieni

    critically comment on the manifestation of urbarn systems concept in tanzania.
  6. J

    JOSHUA NASARI karibu JamiiForums uongee na watanzania

    wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?
  7. J

    kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka2011.serikali ina kimbia majukumu yake

    kwa kuchukulia hatua ghidi ya walimu ambao hawahudhuriii madarasani,hebu angalia ni nani asiye jua maisha ya mwalimu yakoje kiuchumi,nani asiyejua hao viongozi wetu wanabiashara gani pia wanamiliki nini, kwa sasa hakuna mfanyakazi kamili kwenye dunia hii,nyinyi wenzangu angalieni wakati wa...
  8. J

    waalim wapya wadhurumiwa

    Kwa sisi walimu inaonekana kwamba ndio daraja la kunyonya zaidi hivyo inahitajika hali ya ziada kukomesha hilo,si mnaona madaktari umoja wao.mimi niliajiriwa 2008 mpaka leo sizijui posho ya kujikimu,na mishahara ya mwezi machi 2008, april 2008, nini nimedai mpaka nimechoka pesa niliyo tumia...
  9. J

    Mwl Aliye Tayari kuhama

    Mwl wa stashahada aliye tayari kuhamia Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga tuwasiliane kwa 0712155609,0786776420
  10. J

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    jamani mimi nilikuwa naomba nakala ya hicho kitabu cha UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA kilicho andikwa na Mwl Nyerere.
  11. J

    Kigamboni planning authority

    kwa m2 makini kama anafikiri mbali zaidi kuliko viongozi we2 kwa nini kigamboni ikumbukwe leo?mgeni atoka marekani kuangalia saloon za kike pale magomeni kunanini?,kwanini wenyeji wa kigamboni waondolewe?,kwa nini leo tukadai kuongezewa mpaka baharini?ha2kuliona hilo hapo nyuma?je 2nafikiri...
  12. J

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    kero yangu ni kuona kwamba serikali yetu ipo karne ya 21 lakini wananchi wanaoindesha hiyo serikali wapo karne ya 18 je ndu ze2 viongozi hamoni kwamba 2najichimbia kaburi wenyewe?,maana itafika wakati hao wananchi watakuwa wamechoka na huo uthalimu?
Back
Top Bottom