Search results

  1. Ayubumollel

    Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    hawa wajasiria mali hawa we waacheni tu, wamefanya umalayaaaaaa wameona haulipi wameangukia ngada, sawa tu
  2. Ayubumollel

    Live updates: Matokeo ya udiwani kwenye kata za uchaguzi - Juni 16, 2013

    naona kimya kaka tupe matokeo mzazi
  3. Ayubumollel

    Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    Let us go on for revolution na hata ukipenda kugombea poa tu sio dhambi pia achana na binadamu hata ufanye kipi watasema tu, viva jay and viva cdm
  4. Ayubumollel

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Kweli waliosemaga kuna kuwaza kwa makalio hawakukosea sana, tatizo halitafutiwi ufumbuzi unaongelea mambo ya kumtafuta mchochezi ina maana hao wananchi wa Mtwara hawana akili wao, jiheshimu bana.
  5. Ayubumollel

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Huo ndio ukweli na nashangaa anacho ng'ang'ania kuipeleka hiyo gesi Dar, wana akili kweli hawa wana CCM, mapembe yametoka wapi hapo.
  6. Ayubumollel

    Mbowe: Tatizo la Mtwara linahitaji mazungumzo na sio nguvu za kijeshi

    na huo ndio ukweli ulioko wazi hii siyo Tanzania ya kushurtishwa tena kufanya mambo, kama gesi ikaja huku Dar itasambazwa nchi nzima hata ikiwa kule pia inaweza ikasambazwa bila shida pia, mazungumzo ni lazima na heshima kwa wananchi pia ni muhimu, nguvu na mabavu yamepitwa na wakati.
  7. Ayubumollel

    Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

    wengne wamejaribu ila nmejua kuna watu hata hawajui maana area dial code ya +255 hahahahahahaaaaaaaa, hatuna huo mfumo bana
  8. Ayubumollel

    UK Judges: Courts in Tanzania are so riddled with corruption

    For sure,sasa mambo yanaenda yakijieleza yenyewe hatuhitaji tena kuanza kujiuliza mchawi ni nani TINDU LISU alishayaweka haya yote bayana. . . . . . . . . . . .Ifike maali tuanze kujiuliza nini dawa ya haya yote? Tukisema katiba hata hiyo katiba yenyewe inaandaliwa kiujanja ujanja. . .najuta...
  9. Ayubumollel

    Re: Access bank

    Nenda kwenye kazi kwanza kaka watu hata hyo wameitafuta wakaikosa,now kikubwa ni experience.
  10. Ayubumollel

    Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

    Haya kaka,2tasaidiana ila pitia pitia mara nyingi hapa
  11. Ayubumollel

    Mbowe;huu ni muda muhimu kwako kisiasa na kichama!

    Nauka mkono ushauri wako,na hata wanachama wa cdm kukubali kuwavua magamba wana ccm si kwamba tunawaamini sana na kama lengo lao ni kuja kukituhumu chama itakua ngumu sana,na kwa tahadhari tuu nao wakae kabisaa wakijua kwamba hatuwaamini na pengine hatuwapendi na wasije wakaijaribu cdm,Mungu ni...
  12. Ayubumollel

    Waraka kwa mwenyekiti CHADEMA: Sio wapiganaji wote wana hekima!

    Sishangai sana,sipendezwi wala sijachukizwa na maneno ya kijana wangu Mwenye uwezo mkubwa katika siasa kutoa tamko kama hilo,mawazo yake yanaendana kabisa na watu anaowaongoza,yeye si mbunge wa Tanzania bali Arumeru,Arusha na kanda nzima ya Kaskazini imedhihakiwa na kufanyiwa vitendo vya aibu...
Back
Top Bottom