Search results

  1. A

    Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Makamanda hiyo picha mbona km ndo ile mbatia alikuwa anaongea usiku itv??
  2. A

    Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Wanarusha saa ngapi makamanda?
  3. A

    Eti hapa kazi tu.

    Ni kweli km kubeba watu na malori kuwaleta wajae uwanja ndo tafsiri yake sawa.
  4. A

    Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    October 25 itakua mwisho wa uhuni huu.
  5. A

    CCM hakuna namna nyingine zaidi ya umpigia magoti Mbowe

    Asante mkuu kwa uchambuzi mzuri
  6. A

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Very shame. Eti Naibu waziri anahoji mambo yaliyofanywa na AG kwenye wizara yake aibu tupu
  7. A

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Kweli Prof amebanwa mpaka kuomba maombi wakati anajua anavielelezo feki. Mungu waumbue watu hawa Taifa lipone.
  8. A

    PAC: Maoni, Maswali, Mapendekezo na Ushauri wa yatokanayo na report ya PAC

    Page no 97 inajibu hoja yako. PAC wametoa mapendekezo ya kurudishwa hela zote kwa wale waliochukua. Hakuna aliyeachwa mana wamesema fedha zote ni za umma.
  9. A

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Wakati akihitimisha hoja yake kijana Zitto amewaomba wabunge 70 tu wasaini ili wamtimue mzee Pinda. Sasa tutaona hawa magamba km watasaini au wataendelea na mtindo wao wa kupiga kelele.
  10. A

    Wabunge ccm bado wapo kwenye kikao, wamekimbia bunge!!!!!!

    waache wakae huko but wakirudi waje na mkakati wa kuwafukuza mawaziri wao
  11. A

    Maandamano ya Amani Nchi Nzima

    Asante kiongozi,jamani watanzania tuamke sasa,tufanye maamuzi magumu kuinusuru nchi hii katika mikono ya wany'ang'anyi. Tujieleze kwa nn tuna rasilimali za kila aina lakini bado ni masikini? Viongozi wetu wanauimba wimbo wa umasikini lakini wao hawachezi step za wimbo huo,maisha yao na familia...
  12. A

    Zitto karibu NCCR

    Acheni tabia ya kuvuta bangi wakati. Taifa hili lina matatizo mengi ya msingi mnaacha kujadili hayo mnatuletea hapa ushabiki wa vyama usio na maana yoyote. Mtuachie forum mwende mkaendeleze uchafu wenu
Back
Top Bottom