Search results

  1. Adharusi

    CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe; je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Umemjibu vizuri ,kuna siku tutakua na naibu Makamu wa Rais
  2. Adharusi

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Swali kwa Mabeyo kwahiyo JPM aliomba aitiwe Kina Pengo ,ila akumuita Mama Janet
  3. Adharusi

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Kwahiyo Ndugu Mabeyo ,JPM aliita viongozi wa dini ila hakumuita Mama Janet ?
  4. Adharusi

    Serikali imewakosea nini walimu wa Tanzania kugoma kuwalipa Fedha za likizo ya malipo Disemba 2023

    Tukiwa tunaelekea kwenda kumaliza mwaka wa fedha wa 2023/24 .Walimu wa Tanzania shule za msingi na Sekondari hawajalipwa fedha za Likizo ya mwezi DISEMBA 2023 imekua ni kuwaida serikali kuwalipa walimu fedha za likizo kwa namna inavyojisikia sio kwa mujibu wa sheria ,kanuni na taratibu.. Imekua...
  5. Adharusi

    Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  6. Adharusi

    e-GA inahujumiwa

    Hii Nchi ukiona mradi unaanzishwa sio kwa ajili ya kutatua changamoto za watanzania bali kutatua changamoto za familia binafsi ya waliopo kwenye mradi
  7. Adharusi

    Waliolazimisha watu kupewa chanjo ya Corona wakamatwe

    JPM alama ya Watanzania
  8. Adharusi

    Utumishi na TAMISEMI, huu ni mkakati maalum kuzuia maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma?

    Hii mifumo (ni miradi ya ulaji wa fedha za Umma tu) haieletwi kwa ajili kutatua changamoto au kuongeza ufanisi, walileta mfumo wa Madenis haukua na chochote, kina kipindi Utumishi walileta mfumo wa watumishi Porto 2017 kwa ajili ya Uhamisho, haukufanya chochote
  9. Adharusi

    CHAKUHAWATA wawageuza Walimu upatu, wagawana Tsh. Milioni 400 za Wanachama

    Mi nimefichua yaliyojificha kupitia walimu wenyewe, kuwa CHAKUHAWATA wanagawana fedha za walimu kama Upatu ,kwa mgawanyo huo..
  10. Adharusi

    CHAKUHAWATA wajibu tuhuma za viongozi wao kugawana Tsh. Milioni 400 za michango ya Wanachama

    Ni ukweli fedha wanagawana ,kwanini msajili aliwapa Notisi tarehe 29,kwanini hawafuatii utaratibu katika matumizi ya fedha zao kuanzia ngazi ya wilaya hawana Katibu wala mwekahazina kuna mtu anaeitwa Katibu msaidizi ambae wanadai ni Mwenyekiti...tuambie utaratibu wa katiba na kanuni zetu katika...
  11. Adharusi

    CHAKUHAWATA wawageuza Walimu upatu, wagawana Tsh. Milioni 400 za Wanachama

    Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko. Chama icho kimeweka ada ya Tsh. 5,000 kwa Wanachama.. Ngazi ya Wilaya wanaweka wakala (anaejiita Mwenyekiti au Katibu msaidizi) yeye...
  12. Adharusi

    Maswali ambayo viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) wamegoma kujibu

    Kwanza CWT ndio chama pekee cha wafanyakazi kinachotoa mkono wa kwaheri aliekua mwanachama wa CWT, pia CWT inarudisha 15% kwa wanachama kila Tawi
  13. Adharusi

    Maswali ambayo viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) wamegoma kujibu

    Kwanza isome sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2006 na mabadiliko yake 2019 ,ndio uje utoe ushauri
  14. Adharusi

    Maswali ambayo viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) wamegoma kujibu

    Chama cha madaktari sio chama cha wafanyakazi ni chama cha wanataaluma,Madaktari wapo chini TUGHE NA TALGWI
  15. Adharusi

    Maswali ambayo viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) wamegoma kujibu

    Chama gani cha wafanyakazi kina kusanya ada kwa mwaka mara moja ? Naomba utuambie
  16. Adharusi

    Kwani Rais huoni hili tatizo la CWT?

    Vyama vya wafanyakazi ni takwa la Dunia sio takwa la Serikali, ILO CONVENTION 87,97
Back
Top Bottom