Search results

  1. Moderator

    Kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya ndoa

    Kwa niaba ya Moderators naomba nikupongeze. Hongera sana Mkuu.
  2. Moderator

    Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Hizi stori zenu nyingine zinachekesha hadi Moderators😂
  3. Moderator

    Sample za milango mizuri ya mbele

    Mkuu, hili suala linaendelea kufanyiwa kazi. Kuna baadhi ya picha zinafunguka sasa, nyingine hazifunguki na tunaendelea kutafuta ufumbuzi kamili. Tunaomba radhi na subira kutoka kwenu wanachama wetu.
  4. Moderator

    Happy birthday sweet Chachu Ombara

    Mimi naomba nikupongeze sana ladyfurahia kwa consistency uliyoonesha katika kumtakia Chachu Ombara heri ya siku ya kuzaliwa. Imekuwa kawaida yako ya miaka nenda rudi. Hongereni sana kwa penzi zito.
  5. Moderator

    Uzi huu ni kwa wale tuliopo JamiiForums lakini uwepo wetu hauonekani

    Mkuu uchawi ni hilo jina unalotumia.
  6. Moderator

    JF women…Happy Women’s Day 2023

    Kwamba mwandiko wangu ni wa kike?
  7. Moderator

    JF women…Happy Women’s Day 2023

    Pembeni ya Logo ya JamiiForums kuna Logo ya JamiiCheck, jukwaa la uhakiki wa taarifa mbalimbali mtandaoni. Rangi za kwenye logo hiyo zina maana zifuatazo:- 1. Njano - Taarifa mpya inayosubiri kuhakikiwa 2. Kijani - Taarifa imehakikiwa na kukutwa na ukweli yaani “Fact” 3. Nyekundu - Taarifa...
  8. Moderator

  9. Moderator

  10. Moderator

    Job Opportunity: Office Attendant at JamiiForums

    Office Attendant ni zaidi ya mfanya usafi. Ni kazi muhimu inayohitaji wepesi wa kufikiri, skills za kufanya maamuzi kwa haraka na upevu wa akili. Vigezo hivi huwa vinapatikana kupitia uzoefu.
  11. Moderator

    Job Opportunity: Office Attendant at JamiiForums

    Hivi ndivyo vijana wengi wanapishana na ajira.
  12. Moderator

    Utambulisho

    Karibu saba Khroosb
  13. Moderator

    Nitumie njia gani kuzuia MB zisitumike pale watu wanapoazima simu yangu kuingia mtandaoni?

    Mkuu, Epuka kuwapa watu kifaa chako cha mawasiliano! Endapo kifaa chako kitatumika kufanya shughuli zisizofaa mtandaoni itaingia matatizoni.
  14. Moderator

    Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

    Kwa niaba ya Moderators wenzangu nasema "Amelikoroga na alinywe" 😂
  15. Moderator

    Ngamiani: Mtoto atupwa chooni, Mama mtoto alikana kuwa mjamzito

    Tafadhali usiweke hizo picha jukwaani. Asante
  16. Moderator

    Ngamiani: Mtoto atupwa chooni, Mama mtoto alikana kuwa mjamzito

    Sijakuelewa Mkuu. Hebu fafanua zaidi
  17. Moderator

    Naomba kujuzwa kuhusu barcode na matumizi yake

    Shukrani sana Mkuu. Nikutakie matumizi mema ya JF.
  18. Moderator

    Mwanachama mpya nawasalimu

    Kazi Iendelee. Karibu Mkuu
  19. Moderator

    Sijawahi kumuona Bashiru kavaa suti sasa hivi atavaa

    Mkuu Maxence Melo huvaa japo kwa nadra
  20. Moderator

    Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

    Nakusalimu pia Mkuu MalcolM XII
Back
Top Bottom