Search results

  1. Dr Klinton

    Dr.Godbless Charles won his Appeal against Medical Council of Tanganyika(MCT)

    Congrats Mkuu...Pamoja daima Naamini hii ni kati changamoto nzito ulizowahi kushinda katika maisha yako. Na kwa ushindii huu hakika umekupa ujasiri wa kutosha kushinda changamoto za mbeleni Hakika Wewe ni Jemedari Mahiri Mpo wachache sana Tanzania. Wengi tumeishia kuwa wanafiki tusiopenda...
  2. Dr Klinton

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    In my opinion sijaona ubaya wa huyu bwana mbowe kuhudhuria ile dhifa... Inaweza ikawa imeleta ukakasi machoni pa baadhi ya watu,km hapa mzee mwanakijiji... Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Obama/US ni strongest partner in the world ni gharama kujenga nae uadui kuliko kuwa karibu naye.. Kuna...
  3. Dr Klinton

    Nimepata kazi ya Tutorial assitant St. Francis Ifakara

    Ifakara apart from the benefits mentioned already its a place with full of opportunities in entrepreneurship if ur interested ofkoz kilimo hapo kinalipa sana coz bado ifakara ni virgin land Kuna wasukuma hapo wanamijihela ya kilimo go and do thorough exploration of opportunities vizuri ujasiri...
  4. Dr Klinton

    Ushauri kwa Dr. Steven Ulimboka: Usifanye kosa la "Kukuingiza kaburini"

    Unajua usifikiri kila mtu anafikiri kama wewe lazima ulitambue hili kwanza wakati unaandika na si ku generalize mambo pasi na sababu za msingi UNAFIKIRI KAMA ANGEKUWA NA TAMAA KAMA ZENU NYIE WENGI CHEAP BEING YALIYOMPATA YANGEMKUTA? KWA FIKRA ZANGU FUPI SUALA LA KUPEWA PESA LILIPITA KITAMBO...
  5. Dr Klinton

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    ofkoz ur not being analytical so try to be Dude Either you dont know the whole concept for the Strike that's one thing "you may argue whatever way on favor most likely but it meant to save the oppressed Tanzanians against the barbaric regime (are you part of the regime?) Improvement of the...
  6. Dr Klinton

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    Go back to ur constitutional copy if u have any The gov is responsible for providing health services to her citizen and not otherwise... Doctors are just employees as any other employees .... Try to think big and do some analysis before you post in here.....
  7. Dr Klinton

    Nani aliagiza dr. Ulimboka ateswe?

    Madaktari wamerudi kazini lini kijana?eeh?
  8. Dr Klinton

    Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    You are delusional I can readily diagnose you.... Pia una uelewa mdogo sana AK- Afrika Kusini........... Pambafff
  9. Dr Klinton

    Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    Haaaaa mpiga propaganda hata aibu huna hospitali ya rufaa lugalo au sio kweli mgomo imeisha
  10. Dr Klinton

    Karibu Kumchangia Dr Ulimboka Kupitia Tigo Pesa, M-Pesa

    i concur with you mtoa maada kuna maelezo yalitolewa awali nita ya paste hapa jamvini Jamani matibabu kweli ni kitu endelevu hivyo michango yenu ni muhimu sana wanajamvi Tumsaidie mwanaharakati wa kweli aliyenusurika kutolewa uhai wake na hili Genge la majambazi linaloongozwa na JANGA LA...
  11. Dr Klinton

    HAWa WANAOZUSHA KIFO CHA DR ULIMBOKA WANA HILA GANI

    AnGALIA hIZI NI HISIA ZA GREAT THINKER MMOJA.... Mimi nina SHAKA na TAARIFA MCHANGANYIKO JUU YA HALI YA COMRADE ULI, upande mmoja tunaambiwa yuko mahututi (UNCLEAR SOURCE), upande wa pili tunaambiwa anaendelea vizuri (DOCTORS). Who is the OTHER (UNCLEAR) SOURCE? To me, i am starting to smell...
  12. Dr Klinton

    Upande wa pili wa maswali kwa Dr. Ulimboka

    mtoa maada unajaribu kkubrain wash watuu Maswali kwako Hivi kwa mtaamo wako unafikiri tangu mgomo uanze serikali haijajaribu kuuzima kwa kuwaweka vizuri viongozi wa mgomo? Na kama ilijaribu vipi walifanikiwa au walishindwa? then hatua ya kumteka mtu na kumuua kujaribu kumzika akiwa hai etc...
  13. Dr Klinton

    MOI Wajiunga Tena na MGOMO

    Mpotoshaji wewe au aliyeanzisha uzi huuu?, Ofkoz hata aliyeanzisha uzi huu hajaweka vizuri statement zake mie nimekuwapo Muhimbili na MOI leo Mosi,Watu hawajaanza kufanya kazi jana maigizo yamefanyika ili zipatikane picha za kuonesha kwenye TV Pili,Kwa wenye kufikiri lakini...
  14. Dr Klinton

    Kamati ya jumuiya ya madaktari Tanzania iko makini

    wewe wa ajabu sana eti mnabagua kada zingine hizo kada zingine kwanza ishu si madai ya madr tu kama ambavyo wengine mnapostosha kwa makusudi madokta wamechoka kubong'oa wakimwangalia mgonjwa aliyelala chini, ukosefu wa vifaa tiba muhimu, madawa,UCHAFU mahospitalini nk kwani hiii inashusha...
  15. Dr Klinton

    Utekaji Dr. Ulimboka, Tunaomba Tume Huru

    CCM-MAMA Ndgugu asante sana lakini kwa hili kweli kabisa wananchi wamepoteza kabisa imani na serikali na kama hawa wahalifu hawatashughulikiwa ipaswavyo kwa mujibu wa sheria Basi sasa yale maneno ya Baba wa taifa kuwa Ikulu imegeuzwa kuwa pango la wanyangányi sasa watanzania ndio tutaelewa...
  16. Dr Klinton

    Uongo huu ni kwa faida ya nani: Mgomo bado upo

    Mandingo mgomo uko pale pale na serikali imevibana vyombo vyote vya habari ili kuudanganya umma kama huamini njoo muhimbili au ujionee mwenyewe kwa macho yako jana jamaa wanajifurahisha hadi wana muattack kiongozi wa maspecialist kuwa eti yupo na anafanya kazi wameishiwa Ila sasa wanaongeza...
  17. Dr Klinton

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Ha ha h ah ah ah ah ah Nyie ni ma jamabzai na siku zenu zinahesabika mtaua sana lakinia hamtatumaliza watu wote wenye nia safi na Ndio maana Mwenyezi Mungu alimfufua Dr Ulimboka kutoka kwa wafu kwa malengo yake he has a mission to accomplish Siachi kuiita hii serikali kuwa ni dhalimu hapa...
  18. Dr Klinton

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Ndo manake wakaamua kumuua lakini siku ya tatu akafufuka kawaumbua hata wakimmalizia huko aliko wajue kamwe hawa serikali dhalimu tinatengeneza orodha zao na familia zao hadi vilembwe kwami uchifu, ukoloni lazima tuukomeshe kwa kuvitambua vyema hivi vizazi vyao dhalimu
  19. Dr Klinton

    Personal attacks kwa Dr. Ulimboka zimeanza! Waziri mkuu kadhihirisha utendaji duni

    Nyi wote mnaupungufu wa akili mwilini hatuwezi kuwasaidia dr ulimboka ni mtanzania na anatoa huduma tanzania hivi nyie hamjiulizi kwa nini madr wa hospitali za dini nao wamegoma mfano KCMC na BUgando unang'ang'ania Ulimboka ...Ulimboka nyirikisheni walau bongo zenu kidogo mbona hamchoki...
Back
Top Bottom