Search results

  1. J

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Mtu mpumbavu hawezi kujitambua maana ile sehemu yake ya ubongo iwezayo kumfanya apambanue mambo ndipo upumbavu umesheheni pale. Sasa mtu kama huyo tumsaidieje? Unafiki wa kujipendekeza ni utumwa wa fikra
  2. J

    IS IT WORTH THE INVESTMENT FOR GOVERNMENT TO SPEND 12bn/ FOR AfDB Meet

    Hapa pana danganyo toto lazma patakuwa na share ya vigogo.
  3. J

    Seriously, natafuta mwekezaji anunue ikulu

    Kama ndoo hivyo mmeamua mi namjua mwekezaji aliye tayari kutoa mkwanja kwa ajil ya kuprivatize.
  4. J

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Kama muungano uko matatan wazenji wote wenye hatam bara wajikane ili tuone nin cha kufanya make wao hata hawaon uchungu wa maendeleo duni. Mfanowe ni mawaziri wa .,.na....? Washikaji inaeleweka.
  5. J

    JK kuvunja baraza la mawaziri baada ya sherehe za Muungano

    Sijawahiona serikari ya kisera kama ya Jakaya .kweli hii ni serikari YA KISE....?
  6. J

    Kikwete si Tatizo la Tanzania!

    Msemayo sawa lakin tatizo kubwa ni sisi watanzania. Kwanini tunaendelea kukumbatia maozo pindi za chaguzi kuu? Au mwataka nani awachagulie kiongozi wa kutetea masilahi yenu?.Yanini kuchagua msosi uliochacha wakati kuna chakula kizuri kwa pembeni?Kukosa uelewa kwa Watanzania kutatufanya tuwe...
Back
Top Bottom