Search results

  1. THE STRONG

    Mahojiano kesi ya Yericko Nyerere mahakamani,chini ya wakili msomi

    Brother nina mashaka na nchi hiyo uliyoishi kwanza Alafu kitu cha pili maana ya "wakili msomi" ni "Learned Counsel" ambalo ni professional name how the lawyers address each other... Ukisikia kitu kifanyie research kwanza Brother
  2. THE STRONG

    CCM, vita mliyoianzisha ya kupambana na makanisa hamtoishinda

    Watumishi wa Daudi na Daudi mwenyewe walimkuta Mfalme Suleiman amelala wakamwambia wamuue lakini Daudi alisema hawezi kunyoosha mkono wake dhidi ya Masihi wa Mungu 'mpakwa mafuta wa Mungu' Jamani tuwe makini na watumishi wa Mungu kwa sababu Mungu huviadhibu vizazi mpaka cha nne cha wamchukizao
  3. THE STRONG

    Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    Mi nadhani hawafiki kwa hawa wa kwetu bongo... Hao wanao wakuchagua ila bongo ni full package
  4. THE STRONG

    Mbunge wa Tanga Mjini CUF ashikiliwa na Polisi, kusafirishwa usiku huu kwenda huko Dar es Salaam

    Hii nchi sasa hivi inaendeshwa kwa hisia.. Hii ni mbaya sana serikali inaogopa nn? Ina maana mahakama za tanga hazina Jurisdiction ya kusikiliza hizi kesi za uchochezi? Mbna hivi vitu inavyofanya serikali yetu inachekeaha
  5. THE STRONG

    I need a male friend to chat with

    Friends only 0759829364
  6. THE STRONG

    KAHAMA: Viongozi 22 wa CHADEMA wafikishwa mahakamani

    Lets wait and see what will happen in the future as this police work is ridiculous. ...
  7. THE STRONG

    Ndugu Humphrey Polepole huu upotoshaji ulioufanya leo ni kwa manufaa ya nani?

    walikubaliana kwa misingi gani? hilo ndo swali la kujiuliza... wao walikubaliana na kura ya maoni ya wengi.. eg. scotland but why sisi na wasomi wetu tunakataa maoni ya watz walio wengi na kukubali ya wachache huku bunge likivunja sheria waziwazi? nijibu alaf tuendelee nkuelewshe
  8. THE STRONG

    Ndugu Humphrey Polepole huu upotoshaji ulioufanya leo ni kwa manufaa ya nani?

    hebu angalia historia ya katiba zote ni katiba gani duniani iliyotungwa bila kuwa na pande mbili zinazopingana..... sheria ya mabadiliko inaruhusu bunge kupokea maoni mapya... soma kwanza
  9. THE STRONG

    Ndugu Humphrey Polepole huu upotoshaji ulioufanya leo ni kwa manufaa ya nani?

    hii katiba haitofautiani na ya 1977 kwa sababu ilipitia kwenye NEC ndo ikaja kwenye bunge la katiba so draft iikuwa ya matakwa ya NEC so sishangai wakitaka kurudia yale ya mwaka1977 but kwa kiasi kikubwa kile kilichotakwa na wananchi hakijazingatiwa... ntaeleza maelezo baadae
  10. THE STRONG

    Ni nyimbo zipi zinakukumbusha machungu ya mapenzi na hata kuzichukia kabisa?

    ukimuona ya diamond... nilipigwa chini na demu alafu hii nyimbo ndo ilikuwa inatoka... sikuipenda kabisa na nilikaa kama mwaka spendi kuisikia
  11. THE STRONG

    Dk.Slaa: Tulishinda urais mwaka 2010

    Tatizo linakuja pale ambapo wabunge walichakachuliwa hata mh... Wa bunda hakushinda
  12. THE STRONG

    Viongozi wa dini kemeeni watoto wa kike waliokwenda JKT kudhalilishwa

    Hebu wanajamvi tujiulize maswali Haya.... 1. Je Hawa viongozi wetu wasio na uzàlendo hawajapitia jkt? 2. Je mfumo wa ulinzi wa nchi yetu utategemea these unqualified soldiers? 3. Je maadili ya vijana yanaweza kujengwa kwa kufundishwa matusi? 4. Je hakuna other alternative way tunaweza watumia...
  13. THE STRONG

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    acha upuuzi wako, watu wakiwakemea mabaya yenu mnawaita chadema mbona hamuwaiti cuf au nccr? Hebu ongea vitu vya hekima
  14. THE STRONG

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    acha porojo kama hujui.. Ina maana we una akili au we ndo una proof kuliko mahakama? Kesi imeishaje kama unajua?.. Usijiaibishe
  15. THE STRONG

    Picha: MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA KALENGA WAZUIA NA POLISI IRINGA

    hata arumeru mlisema hivyo, jibu kwa akili wewe acha kuropoka
  16. THE STRONG

    Mh. Kificho, awa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba

    hebu ongea kama mtu mzima kuna mtu aliewalazimisha kuendelea na muungano? Why nyie wazanzibar mnakuwa wabinafsi sana, hebu kua, hivi jf imekuwa ya vilaza
  17. THE STRONG

    Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

    ashakujaribu nini? Mpaka unajua siri zake za ndani, maana hata hilo jina mh! Sio riziki wewe
  18. THE STRONG

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    kaka hii 'kisato' ni kweli au mi sijakupata
  19. THE STRONG

    Bongo movies...

    jambazi lazima awe na sura mbaya na awe ananuna muda wote
Back
Top Bottom