Search results

  1. Sir oby

    Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    huyu Mwalimu Wangu tangu amekalia hicho kiti na Akili imehama kabisa mungu amsaidie kwa kweli, Mkate wa Kila siku unapokuwa unapatikana bila taabu hata akili huwa inagoma kufikiri, huyu kwenye midahalo pale Nkuruma ndio alikuwa anazungumzia haya mambo ya Demokrasia, Haki na Tume huru leo gafla...
  2. Sir oby

    Uchaga na ukabila hautusaidii, tujifunze sisi watu wa Kanda ya ziwa

    hawa wachaga mtawalaumu bure ila kimsingi wako mbali sana na lazima tuwatumie kufika mahali kama taifa, hawaepukiki unless uwe ni mtu usiyekuwa na malengo tu ndio utawalaumu, nusu ya wanafunzi waliopo shule za uchagani sio wachaga, hii inammaanisha nini? huku maofisini hawajajipeleka wao bali...
  3. Sir oby

    CHADEMA yashtushwa na Fredrick Sumaye kutumia nembo ya Taifa kuitisha mkutano wake na Wanahabari

    huyu ni waziri Mkuu Mstaafu na ana ofisi na Katibu wake ambaye pia analipwa na serikali so kutumia Nembo ya Serikali kwake ni sahihi kabisa. wanaojua itifaki watatuambia zaidi
  4. Sir oby

    Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    kuwa upinzani panahitaji moyo na uvumilivu naona mzee sumaye imemshinda,
  5. Sir oby

    Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

    yaani nyie kiongozi yeyote anayeongea ukweli ni adui wa Rais sasa mbona kama vile tutakuwa ni Taifa la ndio mzee jambo ambalo sio sawa, kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kadiri ya utashi wake, nami nakubaliana sana na prof na wala musimkashifu mzee wa wakati anajua alichozungumza
  6. Sir oby

    Serikali kumfunga Sugu was a political mistake!

    uvumilivu wa kisiasa ni wa muhimu sana vinginevyo mbona wanasiasa wengi wa upinzani wataumizwa sana, nadhani hili la sugu kama lilivyokuwa kwa Mh lema linapaswa kuwa fundisho kwa wakubwa
  7. Sir oby

    Hatimae Polepole awaangukia Maaskofu

    Ndugu zetu maaskofu wa DRC wao wameandamana kabisa kumpinga kabila kuhusu suala la uchaguzi, laiti maaskofu wote kabisa wangekuwa na uthubuti serikali lazima ingebadili mwenendo wake kwani hali za wananchi sio nzuri kabisa lakini tunaaminishwa hali ni nzuri.
  8. Sir oby

    Uhuru wa mijadala vyuoni njiapanda: Ni profesa yupi alitimuliwa UDOM kwa kumkosoa Mkuu?

    hatari sana aisee, sasa hapa wanazuoni hawana fursa ya kukosoa mwenendo wa serikali, mbona amempa shavu kitila mkumbo wakati alikuwa mkosoa kubwa wa masula ya kisiasa ambayo mkuu wa kaya alikuwa anafanya.
  9. Sir oby

    Mtakaofutwa kazi kwa vyeti feki nendeni Mahakamani

    bashite amewaokoa wakubwa wengi haya ngoja tuone huo ufanisi utatoka wapi, kumbe mtumishi wa umma ndo huyu that means wakuu wa wilaya na mikoa sio wakuu wa umma, hatari sana
  10. Sir oby

    Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

    asante kamanda Ben kwa taarifa, nimeipenda kauli ya Mh mwenyekiti kwamba Le prof ni wa kupuuzwa tu hafai tena kupewa heshima zaidi ya kuitwa msaliti
  11. Sir oby

    Tundu Lissu amjibu Zitto kuhusu tuhuma za LEAT

    waeleze kiongozi maana wanadhani kila kitu ni siasa tu,
  12. Sir oby

    Arusha halisi ilivyo na watu wake

    kuna ukweli asilimia 80% hiyo 20% umeongeza mbwembwe. hapo kwenye madawati hapana labda uniambie arusha mjini ila kama unaijua ngorongoro vizur, monduli, karatu na longido huku kote janga la madawati na ishu ya maabara lilikuwepo sana tu,
  13. Sir oby

    Hongera Azam kwa kuwarahisishia wakazi wa Kigamboni maisha(Azam mwendokasi)

    itasaidia sana hii kitu coz panton linapoteza muda wa watu sana
  14. Sir oby

    Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    pole pole kuongozwa na makonda mmmmmh ................... changamoto ngoja tuone lakini wamemsogeza may be wanampa kazi maalum
  15. Sir oby

    Wabunge wa CCM wampongeza Tulia Ackson, Wakiri wapinzani waliwazidi kete

    hii ni mbaya sana na hapa muhimili wa bunge umepoteza maana kabisa baada ya kusimamia serikali wenyewe ndo wanasimamiwa na serikali.
  16. Sir oby

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    apocalpto
  17. Sir oby

    Kurudi Clouds Fm; Masudi Kipanya ajigamba, ni pesa tu!

    masoud namkubali sana ntaanza kusikiliza clouds fm sasa
  18. Sir oby

    UKAWA wagomea kampeni ya usafi Dar!

    ukiona kijana anakuwa na haiba na CCM hivi na umri huu akiwa mtu mzima lazima awe mchawi
  19. Sir oby

    Neema kwa wafanyakazi yatangazwa na Rais Magufuli

    angalau amejitahidi kupunguza hii kodi coz nayo ni jipu ila ajitahidi kuongeza mshahara wa kima cha chini na kile cha kati japo uendane na maisha halisi na pia kiwango cha taaluma ya mtu.
Back
Top Bottom