Search results

  1. M

    Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

    Umoja vyama vya upinzani ndo utalinusuru taifa na huu ugonjwa ccm endeleeni kufanya kazi kwa pamoja na kuwatoa wote wanaowavuruga ndani ya upinzani wenu.Pamoja Tz itakombolewa
  2. M

    Mbowe: Hatuwezi kushiriki utapeli wa Chama cha Mapinduzi

    Kwa haya yanayotokea bungeni kama Watz watashindwa tena kupatta sababu ya msingi ya kuikataa ccm basi hata aje Yesu kwa mara ya pili kuwafundisha hawataamini
  3. M

    Police Waliomfungulia Mh Sugu Kesi Dodoma ni kichekesho na wamekurupuka

    Kazi ipo kwa sasa TZ ni siasa maji taka hakuna cha maana kinachofanywa na hawa ccm naona wanasubiri tu 2015 kama vile timu iliyofungwa inavyosubiri dakika90 ziishe.Wote mbumbumbu viongozi,police wanachama wa ccm basi ghasia mtindo mmoja
  4. M

    VIDEO: Baba Mzazi wa Dk. Kigwangalla adai kutelekezwa na mwanae

    kama hii habari ni yakweli basi nakubali kabisa kuwa Hamisi anakosea asingepaswa kulipiza kisasa cha kutolelewa na babake ktk kipindi hiki wakati babake ni mgonjwa,tunatakiwa kusamehe mara saba sabini
  5. M

    EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    Nadhani kama Maige ameweka haya maoni kwa kujitambua na sio amejiandikia tuu then kuna haja na kiti cha spika kujipanga upya na kuona wapi wanakosea,kutumia nguvu hakuwezi kuwa ndo njia pekee ya kuendesha bunge na nchi kwa ujumla wake
  6. M

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Any updates za hukumu ya LISSU Mungu simama upande wetu
  7. M

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Mungu wangu hivi ccm inataka wananchi tufe au uwiiii?
  8. M

    Huu ndo uwajibikaji au ndo uhuru wa demokrasia?

    Halo naomba ufahamu kuhusu hili nimesikia baraza la mawaziri linavunjwa sina hakika if yes swali linakuja..... kitendo cha rais kutaka kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu wanaumwa ni kuwatendea haki wale wagonjwa na je kuna muda walisha wahi kuwajibika kwa vile walikuwa wazima?mm naona ni mfa...
  9. M

    Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

    Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi...
  10. M

    Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

    Ingekuwa ni mm nimekutuma uje kueneza siasa za kijinga za ccm ningekupumzisha kama B.nyoni mana umepauka kisiasa na kufilisika kisera.maghati unadhani huwa wanatoka kwa kupungukiwa sera kama ccm au wanatetea maslahi ya umma pole tuna kazi kuelimisha watu kama ww mmhhh kama ni fee inabidi ulipe...
  11. M

    HII ndo maana ya demokrasia Tanzania?

    Kitendo cha utungaji wa sheria bungeni kwa ile njia ya ndio na hapana ni demokrasia ya vyama vingi?sasa hivi bungeni imepita kipengele cha 17b kuhusu kuwahusisha DEO/DED/WEO/VEO kwenye mchakato wa katiba mpya.Imefikia mahali Mbowe amelazimika kushawishi wabunge wa upinzani kukubali yaishe je hii...
  12. M

    Mkuu wa mkoa Arusha aagiza wachaga waondolewe

    Nadhan Arusha kuna vuguvugu ambalo watawala wasipolichukua kwa uzito na uangalifu litaleta shida kubwa.Nimshauri Mkuu wa mkoa na waliohumu ndani ambao wanaweza kumshauri aache uvivu wa kufikiri.tuwe na agenda za kitaifa na sio maslahi binafsi
  13. M

    Mswada kujadiliwa bungeni?

    Naomba kueleweshwa je kilichotakiwa kuchangiwa katika huu mswada ilikuwa ni ishu ya wakuu wa wilaya,wakurugenzi na wanasiasa kuingia mana wachangiaji wote wameishia hapo.vip kuhusu malalamiko ya mamlaka ya rais katika katiba?
  14. M

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    huyu Machali baada ya kumsikiliza nimegundua kumbe chadema mwongozo mtu wa pwani Machali sio mbunge wa Chadema tafadhaliii pokea taarifaa
  15. M

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    Hatimaye mapendekezo ya kambi ya upinzani kuhusu katiba mpya yapokelewa kwa makofi na kuondoa aibu wamesema ni maoni ya serikali duh kweli hatuna serikali kabisa.
  16. M

    Hii ndo maana ya uongozi?

    Naandika nikiwa na masikitiko sana kwani serikali ya ccm imeshindwa kazi kabisa.Je kama mgomo wa madaktari sio jambo la dharura je nn kinachizidi maisha na uhai wa watu?nafikiri kwa hili tuache ushabiki na kuwa na huruma na maisha ya watz mlioko huku mwambieni JK anachemka mbaya
  17. M

    Maandamano baridi na Legal and Human Rights Centre, Salender Bridge

    Kila la heri mm niko mbali ningeunga mkono hadi kieleweke .serikali inakuwa legelege hadi kero ukiongea unaambiwa ni mpinzani ila ukweli na kwamba ccm imeshindwa huwezi kuwa kiongozi wa namna hii
  18. M

    Serikali iwe serious

    Kitendo cha serikali kuendelea kupuuza mgomo wa madaktari na hatimaye nduguzetu kupoteza maisha ni kwamba kweli hawana fedha au hawana uchuungu na watz?Ifikie mahali serikali itenganishe SIASA NA MASUALA YA MAENDELEO NA HUDUMA ZA JAMII.mwito wangu ni kwa wale viongozi walio humu ndanii...
  19. M

    Je ccm wanataka kuwa na viti maalimu vya urais?

    Baada ya kukaa na kujitathmini ccm wamegundua hakuna msafi hata mmoja anaweza kugombea urais 2015.Kuna porojo kuwa JK anapendekeza awe Migiro ili kuuwa makundi yote ccm kama walivyofanya kwa spika.Je wannaopewa hiza nafasi wanaweza au ni kukomoana na kuendelea kuumiza watz?Tusikubali tufanye...
  20. M

    Mh Mnyika, ARE you serious? ni serikali ipi unaiongelea

    Binafsi natofautiana na mtoa hoja anaye mkosoa kwa nguvu Mh.Mnyika nachokiona hapa ni kwamba yy kawajibika kusema ambayo ndo kazi yake na pia kwa jinsi anavyoona sio kwamba haiwezekana ni kwa vile serikali ya ccm imeamua kuwasusa wapiga kura na kujilimbikizia mali.Hapa nn kikubwa sana ambacho...
Back
Top Bottom