Search results

  1. Finder boy

    Mtoto hupewa jina ndani ya siku ngapi mara baada ya kuzaliwa?

    Salamu! Napenda kufahamu mtoto hupewa jina siku ya ngapi mara baada ya kuzaliwa? Je, ni siku ya kwanza, au siku yoyote? Msaada wenu tafadhali katika hili.
  2. Finder boy

    Natafuta chumba cha kupanga Buguruni

    Mganga hajigangi. Ila poa tu na nyie mtakuja kwetu Mtwara
  3. Finder boy

    Natafuta chumba cha kupanga Buguruni

    Nitapata kupitia msamaria mwema ambaye ataamua kunisaidia akijua kuwa watu hatulingani vipato. Ni kama msaada tu, tujifunze kutoa msaada, hata Mimi niliwahi kuwa dalali katika mkoa mmoja wa kusini, kuna muda nilikuwa natoa tu msaada.
  4. Finder boy

    Wapi nitapata magodoro ya wanafunzi kwa bei nafuu?

    Naweza kupata kwa shilingi ngapi? Bei ya godoro moja ni shilingi ngapi?
  5. Finder boy

    Wapi nitapata magodoro ya wanafunzi kwa bei nafuu?

    Kwa kariakoo ni maeneo gani naweza kupata Yale magodoro madogo ya wanafunzi? Nataka mawili alafu bajeti yangu haizidi elfu arobaini (40,000) kwa yote mawili. Msaada tafadhali nataka kuwanunulia madogo wakasake elimu.
  6. Finder boy

    Natafuta chumba cha kupanga Buguruni

    Habari za leo wanajukwaa?. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Buguruni, kuanzia Buguruni sheli, Rozana, Malapa, hadi Msaada Gereji. Bajeti yangu ni 30,000/= nyumba uwe na maji na umeme. Asanteni. (Msaada tu, sina hela ya kulipa dalali).
  7. Finder boy

    Haya sasa watumieni hawa video zenu, siwanajinasibu kuwa hawabagui

    Hii ni Channel mpya nasikia inaanza rasmi April, wanahitaji watu wawatumie videos za matukio mbalimbali nao watazirusha bure kabisa. Haya sasa ngoja tuwasubiri tuone
  8. Finder boy

    Mnaopenda kuuza sura YouTube, fursa hii hapa, msiseme sijawaambia

    Someni description wenyewe. Kama hujui kimombo ndio uulize
  9. Finder boy

    The YouTube channel that covers everything

    Fursa kwa wanafunzi mnaopenda kuuza sura kwenye YouTube, kama mnavideo zenu tumeni, Read their description
  10. Finder boy

    The new YouTube channel that covers everything

    Hope this will employ many journalists, read the description
  11. Finder boy

    Hizi betri zinasumbua, msaada tafadhali

    Hazijaungua mkuu. Hazitoi alafu yoyote ya kuungua. Na nikizilamba hazina moto kabisa. Betri moja iliwahi kuwa na tatizo hilo, nikailamba na kuiweka chaji ikakubali kupeleka moto. Safari hii umegoma kabisa licha ya kufanya hivyo vyote
  12. Finder boy

    Hizi betri zinasumbua, msaada tafadhali

    Nina simu yangu iligoma kuwaka ghafla kwahiyo nikaamua kubadili betri na kuweka zingine nione kama itawaka, lakini haikuwaka na cha ajabu hata hizi betri nazo zimegoma kupeleka chaji, na hazioneshi kama zina chaji. Kipindi naziweka kwenye simu zilikuwa na chaji, nimejaribu kuwasha simu...
  13. Finder boy

    INAUZWA Jipatie modem ya Airtel kwa elfu 20,000/= ufurahie internet ya kasi zaidi

    Karibuni sana, modem ya Airtel ni ya kuaminika
  14. Finder boy

    INAUZWA Jipatie modem ya Airtel kwa elfu 20,000/= ufurahie internet ya kasi zaidi

    Wengine bado tunatumia modem kwa internet ya uhakika zaidi. Kuna muda smartphone inazingua, lakini ukiwa na modem unajihakikishia internet. Nakushauri jipatie sasa modem safi kabisa hii
  15. Finder boy

    INAUZWA Jipatie camera aina ya samsung HD kwa bei chee ya 180,000/=

    Bado zinatumika kwa makamera men na watu wa kuchukua matukio kwaajili ya documentary
  16. Finder boy

    INAUZWA Jipatie modem ya Airtel kwa elfu 20,000/= ufurahie internet ya kasi zaidi

    Wanayo, sema hawajitangazi maana wanauzika
Back
Top Bottom